Recent content by davidson689

  1. davidson689

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ningekuwa na mke mwingine ningeenda, nyumbani kwa moto sana leo

    Mwananmke wa namna hii ni pasua kichwa, kaa nao mbali hivyo hivyo tena akijua udhaifu wako ni watoto atakusumbua sana.
  2. davidson689

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Hongera na kila la kheri.
  3. davidson689

    JamiiForums Tanzania Mtanzania afia Uturuki akifanyiwa operesheni ya shepu

    Aisee 🤔
  4. davidson689

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wengi wanajiuza kijanja janja

    Aisee sasa hawa wakifika 30s ukiingia unakimbia mwenyewe.
  5. davidson689

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna wadada wema tu ila wanauza Baa, shida hizi

    Oya wacha nianze kwenda bar nipate wa pili. 😂
  6. davidson689

    JamiiForums Tanzania KERO Upasuaji kwa wajawazito imekuwa kama lazima, ni kero kubwa

    Upasuaji kwa Hospitali za Serikali sio Biashara pamoja na hilo unatakiwa ujue kuna sababu nyingi zinazopelekea mjamzito kufanyiwa upasuaji ikiwemo kumuokoa Mama, Mama na Mtoto au Mtoto peke yake. Naamini Madaktari waliopo hapa watakuelewesha zaidi.
  7. davidson689

    JamiiForums Tanzania RIWAYA: Mifupa 206

    So hii kazi ndio imeishia hapa au mwandishi bado anaandika?
  8. davidson689

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kwa mahitaji ya frame za miwani za macho na lense zake

    Unapatikana wapi?!
  9. davidson689

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakamani: Sikubakwa na mshtakiwa nilitaka mwenyewe maana ni mpenzi wangu

    Itakapotoka hukumu naomba mnitag hapa.
  10. davidson689

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Dar ni washamba tu hapa Mbeya tunafanya kazi na kupiga bia kila siku hatusubiri kufunguliwa Jumapili

    Eti kuzipiga kavukavu, ngoja nije huko. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. davidson689

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Umeona kitu eBay hufahamu utakipataje na umekipenda nitumie link kwenye person meseji ya jamii forum pamoja na namba yako nikusaudie kwa gharama nafuu kabisa. Mimi nimeshanunua simu na vifaa kibao vimefika. Mfano ni simu unayoiona hapo.
  12. davidson689

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Habari. Naomba Kwanza nikuelekeze kitu, awali eBay ilikuwa inaaminika Sana hadi kipindi Cha karibuni hapa kuna wana wameingia ndugu yangu usipokuwa makini unaibiwa. Nunua bidhaa kwa mtindo wa auction au mnada hao wanauza kwa mtindo huu eBay wapo realistic, hao wanaouza s9 dola 12 mataperi nunua...
  13. davidson689

    JamiiForums Tanzania Zitto na Fatma Karume wanaunga mkono tamko la EU na wameshiriki kulisambaza

    Inaonekana means ulitaka tamko lisisambazwe? Limesambazwa watu wamelisoma na mimi Kama wananchi huru wa Tanzania ninachoelewa hata wewe pia unatumiwa Kuna unaowatetea hawaukubali ushoga ila unakubaliana na mengine yote yalioainishwa kuwa ni sawa, Kama kupinga tuyapinge yote tusichague. Ila ujue...
Back
Top Bottom