Recent content by davido89

  1. davido89

    Mpenzi wangu analalamika kuungua kila nifikapo kileleni

    Tatizo la kufika kileleni linatibika kirahisi xana panda gari la moshi inategemea na sehemu ilipo den shuka moshi mjini mkoan Kilimanjaro ukifika moshi mjini ulizia magari ya marangu den ukifika marangu utakuta kuna vituo vingi vya kwenda kileleni inategemea ww unaenda kituo gani kibo au mawezi...
  2. davido89

    Roho ni nini? inaenda wapi baada ya kufa?

    Trust on yourself braza don't luk other coz ulizaliwa pekee ako na utakufa pekee ako
  3. davido89

    Roho ni nini? inaenda wapi baada ya kufa?

    Da thing which can I say is to trust in god at all ili ata ukifa ukimkuta utakuwa na la kujitetea kuliko kutokuhamini den unakutana nae cjui utaificha wapi roho yako
  4. davido89

    Roho ni nini? inaenda wapi baada ya kufa?

    Bro nimekuelewa xana but unanipa ukakasi unaposema someni biblia mkiongozwa na roho wa bwana xo km binadamu unajuaje unaongozwa na roho ya bwana nw
  5. davido89

    Msaada wa ushauri kuhusu tatizo hili la shuleni kwetu Kwemaramba Sec School, Lushoto Tanga

    We acha ujinga piga kitabu fuata sheria za shule tuone km utasumbuliwa
  6. davido89

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo nachingwea nije pwani wilaya yoyote
  7. davido89

    Bitcoin Mining - Genesis mining [BTC]

    Nimesikia juju kuhusu bitcoin but nahisi kuvurugwa cz kwenye maelezo kuna lugha ngeni nyingi sizielew
  8. davido89

    Natamani kupenda tena

    Haupo serious ww unazingua
  9. davido89

    Ng'ombe hutoa maziwa mengi akilishwa vizuri, Watumishi wa umma......

    Maisha magumu jamani kuwa mnyonge ni tabu xana tutateseka na hakuna wa kusikia kilio chetu tuendelee kumuombea kiongozi wetu mungu ameona anatufaa huyu muhimu tuzidishe maombi jaman
Back
Top Bottom