CHE GUEVARA alikuwa akiamini; " mabadiliko katika vita. Siku zote aliamini watawala mafisadi na wasiozingatia ustawi wa maisha ya wananchi wao, hawakuwa rahisi kuachia madaraka kwa hiari yao, hivyo mbinu pekee ya kuwatoa madarakani ni kutumia vita" Je imani hii kwa dunia ya sasa na kwa nchi...
Kwenye matatizo magumu ndio huwa rahisi kuijua hekima ya mtu. Zitto Kabwe anachokifanya sasa cha kubwabwaja ovyo ni kwamba anajianika alivyo. Ni mtu asiye na staara hata kidogo. Huyu eti ndo anaweza kuwa mwenyekiti wa chama jamani!! Ni muda tu bado kidogo tutamjua Zitto ni mtu wa namna gani...
Kuna watu wanaendeleza uhuni tu. Ile barua hajaandika Zitto Kabwe. Barua haina hata sahihi ya mwandishi halafu hiyo ndo ya kujadili ! Kule ofisi barua ikiletwa bila sahihi huwa tunaitupa kwenye kikapu cha takataka. Hata hii iende huko huko.
nape ni kijana focused na integrity yake iko juu lakini namuonea huruma anapojaribu kutetea chama chake cha ccm juu ya tuhuma mbalimbali zinazotolewa kwa chama chake. Namuonea huruma kwa sasa hawezi kuongelea vita juu ufisadi, namuonea huruma kwa kuwa Edward Lowassa sasa anakuja juu na...
Huyo ndio kijana msomi ambaye watu wanamatumaini anaweza kuibebe CCM miaka ya baadae. Cha kusikitisha ana siasa za chuki, za kisasi, anatumia siasa za kizamani hata wazee wanamshangaa. Hutu jamaa kama kasoma hajaelimika na ni mshamba wa kutupa hadi anatie kero. CDM mkazieni kamba hadi aangukie...
akihutubia wanachama walioletwa na mafuso Mh Magufuli alisema ccm haibabashwi na vyama vidogo vidogo hasa CDM. Lakini kilichonishangaza ni kuwa neno chadema alikuwa akilirudia mara kwa mara kuonyesha jinsi linavyomnyima usingizi. Mwanaume katika hotuba zile alikuwa ni mmoja tu Mwakyembe, yeye...
Nimesikitishwa sana na speech ya Matusi ya Lusinde maana dhamira yangu inakataa hata kumwita Mheshimiwa!!!!!!!!!!
Alipokuwa anagombea ubunge mtera nilijua watanzania tumepata kifaa tumaini letu jipya. Kijana smart, msomi na very challenging, lakini sikujua kuwa Lusinde hafai hafai hafai hafai...
Raisi mstaafu Benjamin Mkapa itakuwa vizuri kwake kuachana na siasa za majukwaani kwa kuwa badala ya kumjenga kisiasa zinaelekea kumdhalilisha. Chama cha Mapinduzi nacho kimeona baada ya kushiriki kampeni za Igunga na kushinda ndo wamemuona yeye kuwa muarobaini wa chaguzi ndogo ili wagombea wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.