Hii 2019 kila kitu kiko sawa....makao makuu ya Alliance in Motion Global Tanzania yapo Mikocheni. Unalipa pesa unapewa virutubisho lishe pamoja na receipt ya EFD.
Kila siku huwa tunafanya biashara za network marketing lakini hatujui!
Ukitaka kujua zaidi nipigie +255767233758
Siyo DECI wala sio Ponzi
DECI iliiuwa toa pesa upate pesa wao wakisema unapanda mbegu. Ponzi Ni toa pesa upate pesa
Allison in Motion Global ni toa hela upate virutubisho lishe na hivyo watu wanatumia na wanapata afya njema wenye changamoto za afya....na pia watu wanajipatia pesa kupitia...
Ni kweli huyo Prof. ni mzalendo sana kwa wasiomjua wamjue hivyo, japo yeye sidhani kama ana wazo au alishawahi kifikiri kugombea urais. Ni mtendaji mahiri asiyependa blaablaa. Ili afanye kazi na uzalendo wake uonekane yapaswa aachwe huru kwa majukumu yeye mwenyewe na si kwa kuyafanya kwa kivuli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.