Somo la Ugiriki, Tanzania tujifunze

Somo la Ugiriki, Tanzania tujifunze

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,621
Reaction score
14,577
Ugiriki wamefanya uchaguzi hivi karibuni, uchaguzi ambao matakwa ya wananchi walio wengi yameonyeshwa dhamira ya kujikomboa kutoka kwenye mfumo wa uchumi wa EU.

Ugiriki imefika hapo ilpofika baada ya kuingia katika mfumo wa uchumi wa European Union, itu ambacho kinalingana kidogo na kile sisi tunachokililia cha East African Monetary Union.
Kwa bahati mbaya EU Union ni mtoto wa wanasiasa , huko Ulaya, lakini kwa wajanja wa uchumi kama Uingereza waliona matatizo siku nyingi sana na walikataa kujiunga.
Kimsingi makubaliano hayo ilikuwa kutumia sarafu moja kwa nchi zote.
Mimi nimeuliza swali hili kwa wachumi jinsi ya ku-control uhamishaji wa capital kwa kutumia sarafu moja lakini sijapata jibu lenye mantiki.

Mtego uko hapa: Nchi zote zikitumia sarafu moja ni kwamba sasa soko la nchi zote linakuwa moja.
Dis advantage yake ni kwamba hata zile nchi ambazo uchumi wake ni hafifu na hauwezi kushindana na nchi tajiri katika soko hilo ,wanaishia kununua vitu/bidhaa/huduma zilizo bora zaidi kutoka nchi zenye uchumi mkubwa.

Kwa mfano, kama kuna kigari kinatengenezwa Ugiriki, na Ujerumani. Mgiriki atadunduliza kununua gari bora zaidi la kijerumani kuliko lile hafifu la kigiriki.
Matokeo yake ni kwamba fedha toka Ugiriki zinahamishwa , tena kwa wingi tu, kwenda Ujerumani, wapende wasipende.
Baada ya muda utakuta kile kiwanda cha magari cha Ugiriki kinakufa kwa kukosa wateja, na watu wanakosa kazi.

Hili ndio tatizo lililotokea kwa uchumi wa Ugiriki.

Leo ,Tanzania tukianzisha umoja wa sarafu, au sarafu moja ya East Africa , hicho ndicho kitatokea-uhamishaji wa liquid capital en masse kuelekea Kenya.

Huu si utani, tusome alama za nyakati, wenzetu wagiriki wakinyolewa sisi tutie maji.
 
Ngoja kwanza tuchezee shilingi chooni...................
 
Ngoja kwanza tuchezee shilingi chooni...................
Thats the sad fact.
Wanasiasa wetu hawalielewi hili mpaka almost its too late.
Hawajui kuwa ni muhimu kulinda viwanda vya ndani kutokana na ushindani mkubwa na hivyo unalinda ajira.
Rais Mwinyi aliingizwa mkenge kwa kulazimishwa kufungua soko la uuzaji mafuta kwa kuiua TIPER REFINERY.
Leo tunachezewa na kila mtu juu ya swala la mafuta na by products zake.
 
As it seems our fate is doomed.

We will be joining the EA Monetary Union soon. However there is very little, if at all,information as to how the monetary union will perform.

My biggest worry is for the weaker economies. While competion is a healthy thing to all contestants, we must watch out for the htches which if not addressed,Tanzania will be drained dry!!

The lesson from the Greek scenario shoild be watched closely. Unfortunately no body is explaining this to the wananchi.

What will surely happen is: people will buy goods , by preferance or inducement, from the economically stronger country-Kenya that is.
Of course the business men/women will remitt the proceeds to their respective countries.

Take this over a long period of time, this will mean the SAME currency starts accumulating in one part of the monetary union.

Now this is what is happening in Greece now and before our own eyes!!!

The Euro flight from the "poorer" South European countries is now vivid and problems in Greece and Spain are all over the news.
This is what is in store for our monetary unionion.

I am not an Economist but one notable Economist, University of Maryland economics professor Theodore Kariotis points out that dropping the euro would put monetary policy muscle, control and flexibility back into the hands of the Greek government.

Tanzania Goverment watch out.

UPDATE
=====

‘Don’t rush’ common currency IMF boss tells East African Community BY Dinfin Mulupi | 7 January 2014 at 15:57

< /body>
International Monetary Fund (IMF) managing director Christine Lagarde has urged East African Community (EAC) member states not to rush the implementation of a single currency.

International Monetary Fund (IMF) managing director Christine Lagarde

East African countries are set to trade in a single currency by 2015 following last month’s signing of the monetary union protocol by the region’s heads of state.
Speaking to business leaders in Nairobi, Lagarde told EAC states to “hasten slowly” and draw upon the experience and lessons learned from other regions’ mistakes and omissions.
“As a member of the Monetary Union of Europe, I have to tell you that it is a very ambitious exciting project, [but] one where, as Aristotle would put it, you should hasten slowly in order to make sure that all the steps are taken and all the boxes are checked.
“Don’t rush. Make sure that you learn from our mistakes and that the East African Monetary Union can actually teach the Europeans how to do it right.”
In 2007, East African heads of state resolved to have a common market and a single currency by 2012. While the common market protocol which allows free movement of people within the EAC block came into effect in July 2010, the establishment of a monetary union has delayed and attracted criticism.
Sceptics have often argued that studies should be undertaken on the implications of transferring monetary powers to the regional level, insisting that after the implementation of the monetary union, any problems would jeopardise the entire region.
According to EAC leaders, a single currency will enhance trade among the five countries, reduce transaction costs and strengthen regional integration among Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda and Burundi. The East African monetary union is the third pillar of the region’s integration.

MY TAKE- I said it way back in 2010!

Mkuu masopakyindi hili lishaongelewa toka 2010 humuhumu JF, lakini wanasiasa wetu hawalioni hili!!!
 
Wasomi wa uchumi mpo?
Au shahda za kutafutia kazi!
Toeni points wazee , wa mjengoni wanazipata sana humu jamvini.
 
Ugiriki wamefanya uchaguzi hivi karibuni, uchaguzi ambao matakwa ya wananchi walio wengi yameonyeshwa dhamira ya kujikomboa kutoka kwenye mfumo wa uchumi wa EU. Ugiriki imefika hapo ilpofika baada ya kuingia katika mfumo wa uchumi wa European Union, itu ambacho kinalingana kidogo na kile sisi tunachokililia cha East African Monetary Union. Kwa bahati mbaya EU Union ni mtoto wa wanasiasa , huko Ulaya, lakini kwa wajanja wa uchumi kama Uingereza waliona matatizo siku nyingi sana na walikataa kujiunga. Kimsingi makubaliano hayo ilikuwa kutumia sarafu moja kwa nchi zote. Mimi nimeuliza swali hili kwa wachumi jinsi ya ku-control uhamishaji wa capital kwa kutumia sarafu moja lakini sijapata jibu lenye mantiki. Mtego uko hapa: Nchi zote zikitumia sarafu moja ni kwamba sasa soko la nchi zote linakuwa moja. Dis advantage yake ni kwamba hata zile nchi ambazo uchumi wake ni hafifu na hauwezi kushindana na nchi tajiri katika soko hilo ,wanaishia kununua vitu/bidhaa/huduma zilizo bora zaidi kutoka nchi zenye uchumi mkubwa. Kwa mfano, kama kuna kigari kinatengenezwa Ugiriki, na Ujerumani. Mgiriki atadunduliza kununua gari bora zaidi la kijerumani kuliko lile hafifu la kigiriki. Matokeo yake ni kwamba fedha toka Ugiriki zinahamishwa , tena kwa wingi tu, kwenda Ujerumani, wapende wasipende. Baada ya muda utakuta kile kiwanda cha magari cha Ugiriki kinakufa kwa kukosa wateja, na watu wanakosa kazi. Hili ndio tatizo lililotokea kwa uchumi wa Ugiriki. Leo ,Tanzania tukianzisha umoja wa sarafu, au sarafu moja ya East Africa , hicho ndicho kitatokea-uhamishaji wa liquid capital en masse kuelekea Kenya. Huu si utani, tusome alama za nyakati, wenzetu wagiriki wakinyolewa sisi tutie maji.
hawajaja wenye akili za CCM wakuambie JK hajatolea ufafanuzi kwa hiyo si kweli na wewe ni mamluki......somo la kujifunza ktk serikali zetu na wafuasi wao.Ni kwamba hawana uelewa wa mambo wa utosha wasaidia kuchanganya karaka kichwani haraka na kufanya maamuzi ya kijanja ,yenye uzalendo,na yenye kusukuma hata mataifa makubwa kupoteza ktk dili.In fact hatuna uwezo wa kucheza puzzle ktk issue za kitaifa.Ulichoongea ni kikubwa sana.hawa viongozi wengi hata wakikusikiliza na kutumia maneno yako ktk kampeni hawatakaa watende kwa vile hawatakaa wafahamu.
 
Thats the sad fact.
Wanasiasa wetu hawalielewi hili mpaka almost its too late.
Hawajui kuwa ni muhimu kulinda viwanda vya ndani kutokana na ushindani mkubwa na hivyo unalinda ajira.
Rais Mwinyi aliingizwa mkenge kwa kulazimishwa kufungua soko la uuzaji mafuta kwa kuiua TIPER REFINERY.
Leo tunachezewa na kila mtu juu ya swala la mafuta na by products zake.

Viongozi wetu wengi wanaogopa NGOZI NYEUPE.Siye tuliyezaliwa nayo tunaijua vyema.Rafiki si wa KUDUMU,ni WANAFIKI kwa kupitiliza,watu hawa ni WABAGUZI sana na wanatuona waafrika bado ni vikaragosi,ukichangia na viongozi wetu waliosomea huko kwao na kujiona wanafanana nao basi ndiyo shidaaaaaaaa mara mbili.

Hapo haujaweka kupenda 10% kwa viongozi wetu nalo hili ni kama kidonda ndugu,na weupe wanatujua maana sasa hata wachina nao wanatumia kidonda ndugu hiki kutupiga kwa mikopo yao isyo natija.Ni balaaaaaaaaaaaaaaa kaka,nafuu kutokuwa na viongozi kabisa kuliko kuwanano hawa mapanya buku.
 
Huu ni mtego ulio wazi kabisa, na tukiuingia ni kwa hiari yetu lakini mwenye masikio na asikie.
Ugiriki wamepigwa na sisi tusipokuwa macho tutapigwa kiuchumi vile vile.
 
Viongozi wetu wengi wanaogopa NGOZI NYEUPE.Siye tuliyezaliwa nayo tunaijua vyema.Rafiki si wa KUDUMU,ni WANAFIKI kwa kupitiliza,watu hawa ni WABAGUZI sana na wanatuona waafrika bado ni vikaragosi,ukichangia na viongozi wetu waliosomea huko kwao na kujiona wanafanana nao basi ndiyo shidaaaaaaaa mara mbili.

Hapo haujaweka kupenda 10% kwa viongozi wetu nalo hili ni kama kidonda ndugu,na weupe wanatujua maana sasa hata wachina nao wanatumia kidonda ndugu hiki kutupiga kwa mikopo yao isyo natija.Ni balaaaaaaaaaaaaaaa kaka,nafuu kutokuwa na viongozi kabisa kuliko kuwanano hawa mapanya buku.
Kwa hili la uongoi kwa kweli tutamkumbuka Mwalimu Nyerere.
Alikuwa anasimamia kidete mawazo yake na hakuna mtu yeyote aliyeweza kughilibu akili.
 
hivi waliosoma uchumi mko wapi????
Haha! leo naamini watu wanagraduate half baked, ilitakiwa hili swala lichambuliwe humu tujue mambo yanavokwenda
 
Thats the sad fact.
Wanasiasa wetu hawalielewi hili mpaka almost its too late.
Hawajui kuwa ni muhimu kulinda viwanda vya ndani kutokana na ushindani mkubwa na hivyo unalinda ajira.
Rais Mwinyi aliingizwa mkenge kwa kulazimishwa kufungua soko la uuzaji mafuta kwa kuiua TIPER REFINERY.
Leo tunachezewa na kila mtu juu ya swala la mafuta na by products zake.

Tatizo hili swala hapa kwetu linachukuliwa ki siasa zaidi kuliko kitaalam, wanasiasa wenyewe hawana wanalolijua zaidi ya kupelekwa tu,
majirani zetu wako makini sana na wamelenga kuhamishia uchumi wetu kwenye nchi zao, wasipo shtuka mapema wazee wa ndio tutaingia utumwani bila kupenda
 
Pamoja na kukomalia ufisadi , wabunge wetu wajitahidi kulielewa hili jambo.
Najua wengi tu waningia humu JF, madhara ya maamuzi yasiyo na tija kwa uchumi wa nchi yatakuwa na madhara makubwa zaidi ya ufisadi wowote ule.
Mbaya zaidi tunaingia mambo haya tukiwa tumefumba macho kama mambu mbu mbu!
 
Kwa hili la uongoi kwa kweli tutamkumbuka Mwalimu Nyerere.
Alikuwa anasimamia kidete mawazo yake na hakuna mtu yeyote aliyeweza kughilibu akili.

Na alichokisema ndicho alichokitenda.!Leo tunaambiwa wanamuenzi Mwl.JK Nyerere kwa sababu alisema RAIS lazima atoke CCM mbona hawamuenzi kwa mengine?

Je hajawahi kutamka WATANZANIA wakikosa kupata HAKI kutoka CCM wataitafuta pengine?Je huu siyo ule wakati wakuiambia CCM sasa imetosha?

Hatuna viongozi bora bali tuna bora viongozi walioweka matumbo yao mbele basi.
 
Kwa hili la uongoi kwa kweli tutamkumbuka Mwalimu Nyerere.
Alikuwa anasimamia kidete mawazo yake na hakuna mtu yeyote aliyeweza kughilibu akili.
Nyerere pia aliamini umoja. Kwa hiyo nina hakika angeunga mkono umoja huu hata wa sarafu moja alimradi tu ufanyike kwa umakini. Katika kundi le tu la Africa mashariki, Tanzania ni moja wapo ya nchi zenye uchumi mkubwa. Kwa nini TUOGOPE KENYA? Kwa nini Tusiifanye kenya ituogope sisi? Tukiendelea kujitenga tunatengeneza tatizo jingine. Ili tuimarishe uchumi wetu tunahitaji sana soko kubwa na tutalipata ndani ya Jumuiya hizi za kiduchumi, sarafu moja ni nyenzo nzuri ya kufanya biashara. Kinachohitajika ni umakini. Uingereza unayofikiria ina Unafuu lakini ndani ya Jumuiya ya Ulaya ina matatizo makubwa katika nyanja nyingi ikiwemo ya soko la ajira kwa watu wake.
 
Nyerere pia aliamini umoja. Kwa hiyo nina hakika angeunga mkono umoja huu hata wa sababu moja alimradi tu ufanyike kwa umakini. Katika kundi le tu la Africa mashariki, Tanzania ni moja wapo ya nchi zenye uchumi mkubwa. Kwa nini TUOGOPE KENYA? Kwa nini Tusiifanye kenya ituogope sisi? Tukiendelea kujitenga tunatengeneza tatizo jingine. Ili tuimarishe uchumi wetu tunahitaji sana soko kubwa na tutalipata ndani ya Jumuiya hizi za kiduchumi, sarafu moja ni nyenzo nzuri ya kufanya biashara. Kinachohitajika ni umakini. Uingereza unayofikiria ina Unafuu lakini ndani ya Jumuiya ya Ulaya ina matatizo makubwa katika nyanja nyingi ikiwemo ya soko la ajira kwa watu wake.
Mkuu ni kweli ushirikiano mara zote ni muhimu, lakini ni lazima tuwe makini.
Kulinda ajira, viwanda vyetu, uchumi wetu ni jukumu letu na hatuwezi kuliachia soko huria kufanya hivo ingawaje ushindani ni muhimu.
Hivyo basi tuhnahitaji wachumi wetu wawe wazuri sana kuona mashimo tunayoweza kutumbukia na kuvunja miguu ili tuweze kuyaepuka.

Suala la Ugiriki si utani, watu wamefikia adi kujinyonga kwa kuuziwa numba na maisha ya kistaarabu waliyoyazoea, na bado deni la taifa ni kubwa mno kiasi cha Ugiriki kuanza kuonekana kama 3rd world country.

Waingereza wale ni ligi tofauti sana, pamoja na matatizo yao yote hawajawahi hata kidogo kukubali nchi yao iingie katika Eurozone.
London bado ni a robust financial capital.
 
Back
Top Bottom