Oooh poa kaka... nimeona mipicha online nikaona baadhi ya media kama ya uganda wamepost online kwamba Will Smith Katua Uganda ndo nikajiuliza kwann sisi hatuitumii nafasi hiyo.
Sio kumhoji ila kuhakikisha wanatumia media zingine kutangaza ujio wake nimuhimu mno sio lazima wafanye naye matangazo ila kupitia picha zake wanaweza kuzitumia vyema mbona kapiga picha na maguides...
Hivi karibuni kumekuwa na urushwaji wa picha za mchekeshaji na muigizaji maarufu wa kimarekani aitwae Will Smith akiwa katika mbuga zetu za wanyama lakini cha ajabu wala sijaona taasisi husika ama wizara wakitumia nafasi hiyo kufanya naye matangazo kuijulisha dunia ujio wake katika mbuga zetu za...
Mh GODBLESS J LEMA (MB) wa Jimbo la Arusha Mjini amefikishwa Mahakamani ( RM's COURT) leo Jumanne tarehe 8/11 majira ya sasa 2:10 asubuhi. Kesi yake inasimamiwa na jopo la Mawakili nguli wakiongozwa na John Mallya, Regold Nkya, Sheck Mfinanga, Charles Aidiel.
1.Mh Jaji MAGIMBI amemuamuru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.