Jinsi Ya Kuifanya simu yako isiwe slow.

Jinsi Ya Kuifanya simu yako isiwe slow.

Andiko hili limekusaidia?

  • Ndiyo

  • Hapana

Results are only viewable after voting.
Joined
Jan 20, 2014
Posts
32
Reaction score
49
Android-logo-green-robot-7-1600-aa.jpg

Kumekuwa na watu wengi ambao wamekuwa wakilalamika simu zao kuwa slow wakiwa wanatumia na hivyo kushindwa kufurahia simu zao..
leo nitajitahidi kuelezea njia za kuweza kuzitumia kuwezesha simu yako kutokuwa slow pasipo kujali ukubwa wa uwezo wa simu ama udogo wa simu.

1. Epuka kupakua program ambazo sio muhimu na zisizotambulika.
kwamfano kupakua program za keyboard ilihali simu inakeyboard yake maalum na program zenye matangazo ya popup (ads).. unashauriwa kuwa program chache na muhimu katika simu yako.

2. Epuka kuwa na vitu vingi katika simu
ukitaka kufurahia simu yako siku zozote hakikisha vitu havizidi robo tatu ya uwezo wa simu yako katika uhifadhi.. yani kama storage yako ni GB 8 hakikisha vitu visijae hadi kufikia labda GB 6.5.

3. Kufuta kumbukumbu za muda (Clear Cache data)
kila unachokifanya katika simu yako huifadhiwa hapa kwa muda maalum na uhifadhi huo hutumia uwezo wa simu katika kujihifadhi kwake hivyo unashauriwa kuifuta mara kwa mara.

4. Punguza idadi za homescreen na widgets katika kioo cha simu yako
nivyema homescreen ya simu yako ikawa nimoja na ikawa na program chache tuu na muhimu katika matumizi yako.

5. Futa / stopisha program zinazofanya kazi wakati wewe huzitumii (Delete Running Progams)
unaweza kufanya hivyo kwakubinya kitufe cha menyu kuu (Home key) kisha utaona neno swipe data.

6. Epuka kutumia wallpaper zinazozunguka.

7. Update simu yako mara kwa mara.
hii husaidia kuongeza uimara katika simu yako na kuifanyia marekebisho na pia update programs zako mara kwa mara.

8. Epuka kutouch simu yako / kuitumia mikono ikiwa michafu.
uchafu wa screen yako mfano mafuta/maji hutatiza simu yako nakuiweka katika wakati mgumu wa kimaamuzi kwa kuwa uchafu kama mafuta na maji husababisha simu kupokea amri ya kimatumizi (Commands) na hivyo kuifanya simu kustuck(kusimama kufanya kazi)
siku zote hakikisha simu yako iko katika hali ya usafi na mikono yako nimisafi wakati unaitumia.

8.Restart simu yako mara kwa mara
hii husaidia kwakiasi kikubwa.

samahani nimechanganya lugha kwakuwa kuna ambavyo nashindwa kuelezea kwa kiswahili ila hata kama sijaelezea vyema natumai utakuwa umepata mawili matatu..
 
View attachment 427638

Mkuu hapo kwenye red hapo, kuna tofauti kati ya ku update simu na program? Kama ndio, simu yenyewe huwa una update wapi?
 
Samahani mkuu naenda nje ya mada yako kidogo
Natumia tecno j8 shida yangu nashindwa kuingia whatssap na Facebook.
Nikijaribu kutuma kitu kwa whatssap inaniandikia ....your not connected to internet plz check your connection if problem continue please reboot your phone.
Setting zipo sawa bando ninalo LA kutosha kabisa ..nikiwa sehemu yenye Wi-Fi inaconect vizuri tu.
Msaada tafadhali kwa anayejua maana nimeshafikiria kuwarudishia simu yao dukani ni muda tu nimekosa
 
niko na htc desire eye, iko na 16 gb ila nafikiri toka nime upgrade firmware kwenda 6.0 inajaa na sioni kilichojaza
 
Samahani mkuu naenda nje ya mada yako kidogo
Natumia tecno j8 shida yangu nashindwa kuingia whatssap na Facebook.
Nikijaribu kutuma kitu kwa whatssap inaniandikia ....your not connected to internet plz check your connection if problem continue please reboot your phone.
Setting zipo sawa bando ninalo LA kutosha kabisa ..nikiwa sehemu yenye Wi-Fi inaconect vizuri tu.
Msaada tafadhali kwa anayejua maana nimeshafikiria kuwarudishia simu yao dukani ni muda tu nimekosa
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] Mtu wa 45 wewe naona una lalamika na Tecno ....

Chief Mkwawa ana waambia hiyo siyo SIMU lakini mmekaza Mishipa
 
Mm natumia s.6 edge akini kila baada ya mwezi inaniletea update software ili kuifanya simu yako iwe na future mpya .sasa watu wanasema usikubali kuapdet
 
Pole sana mkuu.. nenda kwenye Network settings kisha put new internet settings..
Username:internet
Apn:internet
Kisha save.. natumai itakusaidia
 
Mm natumia s.6 edge akini kila baada ya mwezi inaniletea update software ili kuifanya simu yako iwe na future mpya .sasa watu wanasema usikubali kuapdet
Kuupdate kitu chochote cha mawasiliano iwe computer ama simu nimuhimu mana inafix all errors & bugs walizozigundua..
 
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] Mtu wa 45 wewe naona una lalamika na Tecno ....

Chief Mkwawa ana waambia hiyo siyo SIMU lakini mmekaza Mishipa
Bado kuna simu zingine bora zaidi zaidi ya tecno ambazo hazina majina lakn nibora upande wa matumizi.
 
Mm natumia s.6 edge akini kila baada ya mwezi inaniletea update software ili kuifanya simu yako iwe na future mpya .sasa watu wanasema usikubali kuapdet
Update tu Mkuu maana huwa inaongeza performance na kunakuwa na optimization..mimi kila ijumaa napata updates na huwa nikiona tu notification na update.
 
Back
Top Bottom