Recent content by Davidchief mkanza

  1. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mke!

    Habar wanajf..., Nahitaji mke wa kuoa ambaye yupo dar.. Sifa zangu ; -Umri 28 -Elimu: degree -Kazi:Self employed Sifa za mke -awe na umri 22-28 -Awe na kazi rasmi -Awe amemaliza kula ujana Karbu PM kwa mwenye sifa tajwa
  2. D

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 100 naombeni wazo la biashara

    Anzisha ZAHANATI mkuu., Kupitia hela yako hyo unaweza kuanzisha ZAHANATI kwa mtaji wa 50ml. Zahanat ya kisasa kabisa.Miezi mitano tu ushazoeleka ambapo utakua na uwezo wa kukusanya 15milion.Ukilipa wafanyakaz unabakiwa zako na 10mil. Project anzisha kampuni ya clearing...Tafuta connection ujue...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 22, nahitaji wazo zuri la biashara kwa mkoa wa Arusha

    Hongera Sana kaka kwa ku-save..., Nakushauri weka Mobile money hiz tgo pesa,mpesa, eatel money, mpesa, halopesa, ezypesa,TTcl pesa, NMB, CRDB, NBC,Amana mtaani nk.., Ongezea na super agent ya voda na eatel... Tafuta site nzuri ie sokoni, stend, eneo karbu na hospital au sehem yoyote yenye wng wa...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zitto Kabwe achambue ripoti ya CAG siku ambayo Freeman Mbowe amepanga kulihutubia Taifa?

    Zito alitoa ratiba yake, kwamba ni siku gani angechambua hyo ripot ya CAG..,hakuipanga jana..,toka wiki ilyopta niliona akiripot kwenye account yake Twitter.., page za chama chake zimekua zikiripoti pia suala hilo la zito..., Taarifa ya Mbowe kuhutubia taifa imetoka jana..,kwa mantik hyo Zito...
Back
Top Bottom