Recent content by David webb

  1. D

    Samuel Sitta amsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Madeni Kipande

    Aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bandari(TPA) Ndugu Madeni Kipande asimamishwa Kazi. Nchi hii imekuwa ya Kuviziana viziana.Akitoka waziri fulani sehemu fulani akiingia mwenzake Lazima afukuzwe Mtu. Hayo leo yamemkuta Madeni Kipande baada ya Mzee anayejiita Mzee wa Viwango na Kasi kumsimamisha...
  2. D

    Hongera NSSF na Real Madrid kwa ujenzi wa kituo cha michezo

    labu tajiri duniani, Real Madrid ya Hispania imesaini Hati ya makubaliano na Shirika la hifadhi ya Jamii Tanzania (NSSF) kwa ajili ya kujenga na kuendesha kituo cha michezo kitakachogharibu Shilingi bilioni 16. Ujenzi huo utajumuisha Viwanja vitano ya Mpira wa miguu, Mabweni ya Wachezaji na...
  3. D

    NSSF wameita for interview

    Mshahara wa Operation Officers na kwa Graduate yeyote kwenye kitengo chochote (Fresh from School) Ni Milioni Mbili(2) na kitu. Take home ni 1.8/1.9 kwa Diploma ni Laki nane. N:B Before Dr Dau Mishahara ilikuwa ni Laki sana na nane kwa Graduate.
  4. D

    NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

    Ukitaka kujua performance za waislamu na wenzetu angalia mfano huu mdogo Mukama Vs Kinana(Next President) Waislamu hatubahatishi katika utendaji
  5. D

    NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

    PPF 1. Mkurugenzi Mkuu Bw. William Erio Mkristo 2. Mkurugenzi wa Operations Bi. Maina Mallya Mkristo 3. Mkurugenzi wa Sheria Bi. Vupe Ligate Mkristo...
  6. D

    NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

    NSSF 1. Mkurugenzi Mkuu. Ramadhani Dau. Muislamu 2. Mkurugenzi wa Fedha. Ludovic Mrosso. Mkristo 3. Mkurugenzi wa shughuli. Cresentius Magori...
  7. D

    NSSF wameita for interview

    Karibuni NSSF, karibuni kwenye Shirika la kweli la Serikali la maendeleo, Karibuni muone na mjifunze ustaarabu wa kazi.
  8. D

    Baadhi ya Majina ya Vigogo waliolipwa pesa za ESCROW

    Hii inatisha, watu wamekula Ngo'mbe mzima mzima, Lakini Mbona majina ya wezi wote na wa Kila siku ni Wakatoliki tu.Hii imekaaje wadau.? Kwa kweli Wagalatia mnairudisha nyuma sana hii nchi.
  9. D

    Siasa katika Ajira za "Oil and Gas" Wizarani na TPDC

    Ndugu wanabodi natanguliza Salamu Zangu kwenu wote. Hivi karibuni mtakumbuka ya kwamba Wizara ya Nishati na Madini chini ya Prof. sospeter Muhongo ilipata kuandika/kuutaarifu Umma wa Watanzania ya kwamba kupitia "research"(Utafiti) wamegundua ya kwamba Tanzania ina uhaba mkubwa wa wataalamu wa...
  10. D

    Siku Moja na Prof. Ali Mazrui

    "In 2005, Ali Mazrui was selected as the 73rd topmost intellectual person in the world on the list of Top 100 Public Intellectuals by Prospect Magazine (UK) and Foreign Policy (United States)."Source Wikipedia.
  11. D

    NSSF yaweka Historia: yazindua YouTube Channel & Itafanya Live Streaming Matukio yake

    Tulipotoa hapa takwimu zenye kuonyesha kwamba mashirika mengi ya umma zaidi ya 99% percent ya wafanyakazi na viongozi wake ni wakristo, Uzi ulifungwa tena si mara moja bali mara tatu ama nne. Tena tulikuja na mifano dhahiri isiyo na shaka ndani yake. Nani asiyejua NSSF under Dr Ramadhani Dau...
  12. D

    Kitabu cha Historia ya harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika kimewasili nchini

    Asante sana Sheikh Mohamed Said kwa kuniongezea utamu wa khabari yako.Nami nataraji InshaAllah kuyapata mambo mengi makubwa toka kwako hasa kuhusiana na mchango wa wazee wetu wa Kiislamu katika haraka tu zao za kuijenga nchi hii. Shukran Sana.
  13. D

    Kitabu cha Historia ya harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika kimewasili nchini

    Sheikh Mohamed Said ALLAH atakulipa kwa kazi kubwa unayoifanya ya kutufumbua macho waislamu na wasio waislamu katika yale unayotuletea kwa hoja zilizo waziwazi. NATOKA NJE YA MADA. Nilikuwa sehemu Leo katika mazungumzo yetu ya kawaida ukazungumzwa (kwa Kheri tupu) tena mtu nikimsikia akisema...
  14. D

    Kitabu cha Historia ya harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika kimewasili nchini

    Nashauri wahadhiri wa Morogoro Muslim University wafundishe kitabu/vitabu kama hivi vyenye kueleza kwa ufasaha historia ya Uislamu Tanzania. Hii itasaidia kutukumbusha waislamu ni nini wajibu na nafasi zetu katika jamii ya kitanzania. Shukran Sheikh Mohamed Said. Allah akujaze Kheri tupu.
  15. D

    Baada ya madudu ya ajira za uhamiaji sasa imekuja kwenye scholarship za oil na gesi

    Mimi siku zote ushauri wangu kwa waislamu wenzangu ni ushauri kama ule aliopata kutoa prof.Lipumba ya kwamba.Tuwapigie kura waislamu wenzetu tu.Na akigombea KAFIRI tusipige kura zetu za ndio.Nimekwenda Aberdeen kikazi nimeona wakristo ni wengi sana wamepelekwa kusomea Gesi na Mafuta lakini si...
Back
Top Bottom