Recent content by David Thomas M

  1. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Aliyetumika kumrubuni Patrobas Katambi kuhamia CCM!

    MH. HAONGA mbunge wa mbozi na david silinde wa momba watakuwa na majibu maana nahisi hawa wote wilaya moja ya mbozi ingawa silinde kwasasa yupo wilaya ya momba. nahisi watakuwa wanamjuwa
  2. D

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuhojiwa uraia, Askofu Niwemugizi azungumza na Rais Magufuli

    pengine sijawgusa mboni ya macho. ila huo ndiyo ikweli.binafsi naamini ambacho mh.rais kamweleza askofu na kumtia nguvu. kuna watu wanafanya mambo ya hovyo as if wametumwa kumbe sifa tu tena za kijinga zinazo mgombanisha rais na wananchi.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuhojiwa uraia, Askofu Niwemugizi azungumza na Rais Magufuli

    Mwanahabari Huru Yote tisa, kumi ni muhimu kutambua kuwa uhuru wa kuzungumza ni haki kikatiba, watu waachwe wazungumze, ni vigumu sana kuwa na taifa lenye watu wenye mawazo yanayofanana na taifa hilo litakuwa taifa la wendawazimu. Tunalipenda sana taifa letu na tunaipenda sana amani...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa kumuona Mrema kwenye mkutano wa CCM Dodoma

    atakuwa kahama chama chake kimya kumya
  5. D

    JamiiForums Tanzania UKAWA wabadili gia angani, Rais Magufuli kutohutubia bunge

    Yafanyike maridhiano nchi isonge mbele
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mkopo nimepewa 25000 (Elfu ishirini na Tano)

    Nenda kasome kaka usikate tamaa. Meals and accommodation utapewa sawa na mwenye asilimia 100. Then bana matumizi yako utasoma tu hadi unamaliza. Usikate tamaa
  7. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi Muhimbili

    Sina matatizo na maamuzi ya mheshimiwa rais.ila kuna maswali mengi ya kujiuliza na mojawapo na kama mkurugenzi kwa makusudi hakutengeneza hizo machine wakati pesa zipo
  8. D

    JamiiForums Tanzania Magufuli apiga STOP Safari za nje ya Nchi; Elimu Bure kuanza Januari 2016...

    Michango mwisho shilingi ngapi
  9. D

    JamiiForums Tanzania Onyo: Dr. Magufuli asizomewe tena

    Job nilikuwepo alizomewa sana na wenje alikuwa hajafika bado akuwa nganza na mnangani
  10. D

    JamiiForums Tanzania Onyo: Dr. Magufuli asizomewe tena

    Na mwanza Nyegezi stand kwenye mkutano wa wenje alizomewa.alikuwa anatoka sengerema
  11. D

    JamiiForums Tanzania Coaster zaidi ya thelathini zinaelekea Morogoro kwa ajili ya Sheikh Ponda

    Kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa waislam hawana uwezo wa kukodi coaster 30?au una maanisha nini! Acha wakasikilize kesi ya viongozi wao wa kiroho.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    Hapo siyo tunduma. Mwanza Jana kuna watu wametelekezwa
  13. D

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    Halo siyo tunduma
  14. D

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    Nenda kamwulize mm yako
  15. D

    JamiiForums Tanzania Picha: Mama Regina Lowassa atikisa Mbeya Mjini

    Safi sana ni mama mbunifu sana
Back
Top Bottom