CCM siasa zetu za kistaarabu. UKAWA wanaendeshwa kwa viroba! Katika hali kama hiyo ni lazima watafanya hizo tabia za kuzomea.
Aidha, UKAWA waelewe kuwa, CCM ina wanachama na wapenzi wengi pia, hivi na sisi tukiamua kuanza hiyo tabia ya zomea zomea, mgombea wao Lowassa atapona kweli?
Rai yangu ni kwamba vijana waache kukubali kutumiwa na wanasiasa kwa kupewa viroba ili kukidhi matakwa yao ya kudhalilisha wagombea. Hii tabia sio nzuri na haikubaliki.
Mimi huwa nazomea kimoyo moyo hata picha zake ktk mabango mbalimbali jijini dar.
Kwa hiyo darasani ulusomea matusinapenda sana kuwashukuru wazazi wangu
kipindi kile wananikazania kuhusu elimu sikuwa ninaaelewa umuhimu wake
leo ndio ninaelewa kuwa shule ni kila kitu
wanaozomea ni mafala na malofa ... huwezi kuwa ukawa na akili nzuri na mwenye elimu yako ukakaa barabarani ukazomea unless hujaelimika ila tu umekaa tu muda mrefu darasani.....
Kistaarabu na matusi yote hayo tunayoyasikia kila siku? Labda utueleze kama ustaarabu unaosema sio tunaoufahamu wengine.CCM siasa zetu za kistaarabu. UKAWA wanaendeshwa kwa viroba! Katika hali kama hiyo ni lazima watafanya hizo tabia za kuzomea.
Aidha, UKAWA waelewe kuwa, CCM ina wanachama na wapenzi wengi pia, hivi na sisi tukiamua kuanza hiyo tabia ya zomea zomea, mgombea wao Lowassa atapona kweli?
Rai yangu ni kwamba vijana waache kukubali kutumiwa na wanasiasa kwa kupewa viroba ili kukidhi matakwa yao ya kudhalilisha wagombea. Hii tabia sio nzuri na haikubaliki.
afadhali mkuu ulikuwepo, maana nilichangia hili la Magufuli kuzomewa Mwanza kuna jamaa linajiita jingalao likawa linanibishia! Tena mkuu alizomewa kuanzia Buhongwa, Mkolani, Nyegezi stand na Mkuyuni!Na mwanza Nyegezi stand kwenye mkutano wa wenje alizomewa.alikuwa anatoka sengerema
Tumechoshwa na vitendo vya kuzomewa kwa mgombea wetu. Kuanzia kule Mbeya na hata hapa Dar es Salaam,Dr. Magufuli amekuwa akizomewa na kuoneshwa wazi kuwa hatakiwi. Yeye hujikaza kisabuni tu. Hutetemeka lakini huimarika.
Mkuu umeuliza maswali muhimu sana na japo ndipo pa kuanzia. Nini kimeondoa utiifu kwa CCM? Hilo ndilo tatizo halisi wala si kuzomea. Kuzomea ni dalili tu ya tatizo uliloulizaAmewakosea nini hadi mumzomee? Wana-Dar es Salaam hamna tabia hiyo. Mmekuwa watiifu kwa CCM kwa muda wote. Mmekuwa hata wavumilivu kuitwa wala-miguu ya kuku. Kiwewapata nini? Nani kawaondoa utii kwa CCM?
Mkimzomea tena Dr. Magufuli,nasi tutamzomea wenu hata kwa kuigiza kwenye giza. Mnapaswa kumshangilia Dr. Magufuli na kumpa kura zenu. Msimzomee na kumnyima kura tafadhari!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam