Recent content by david shayo

  1. D

    List ya recruitment agencies Tanzania

    Kah kuna wa2 wana roho ndogo sana km mmepata hiyo sheet weken basi hapa na sisi tuone au mnataka kumbebesha mzigo wote jamaa?kuweni na utu bana usaidiwapo na ww saidia na utabarikiwa
  2. D

    Naomba taarifa zaidi kuhusu nafasi za udereva JWTZ

    Lin tena mkuu embu tuwasubirie wenye taarifa kamil
  3. D

    Erolink recruitment

    asante mkuu nitawacheki j3 ubarikiwe sana
  4. D

    Erolink recruitment

    Habari wandugu natumain wote mko pouwa tafadhaln naomba mwenye email adres ya erolink recruitment anisaidie nina shida nayo sana tafadhalin sana
  5. D

    Msaada plz

    kKHA?JEMBE MWENZAKO AMEONA ASIONGEZE WATOTO BILA MPANGO NDO MAANA KAWEKA HIYO MAMBO UCKANDAMIZE SANA
  6. D

    Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    Zidisha 28 mara 9 utapata jibu inakuwaje unasex na m2 ambaye humwamin? 2METHUBU2 2MEWEZA NA 2NASONGA MBELE
  7. D

    Msaada plz

    Salam wandugu naomba msaada plz rafiki yangu yamemkuta mkewe anatumia uzazi wa mpango{njiti} sasa anadai mkewe hana hisia tena yani hata azame chumvun hapati hisia vp mwamshauri nn?kwamba ukitumia uzazi wa mpango mwanamke hupoteza hisia?
  8. D

  9. D

    haya ni maradhi au maumbile?

    Mbna hujamzungumzia jk alikuwa anatoa ulim nje nae vp?
  10. D

    I want dagnoss from Doctors only

    Huna maana kudadadadadeki yani mtu una mke halafu unataka kutoka na mwanamke mwingine tena ana gono huna akili ww ndoa na iheshimiwe na watu wote mbna unatuzalilisha wenye ndoa tuonekane wala matapishi?km stail mfundishe mkeo nyambafu yani shit nataman nikuone
  11. D

  12. D

    Ajira ajira ajira wahi haraka haina elimu hii

    Onyesha mfano ww teh teh teh teh wengine kwa kuuza sura hawajambo kweli wewe ni mkuu ndugu yangu
  13. D

    Kegel exercises for men

    Mi cjaelewa chochote embu mdau elezea vizuri tafadhal
  14. D

    kwa wanao tafuta kazi zingatia

    Na kwanaoomba udereva inakuwaje?ushauri boss
  15. D

    !!..new jobs..!!

    Shukran mkuu endelea na moyo huo huo pia ukiona tangazo la kuitwa kwenye usail usisite kutujuza wengine capital ya kununua magazeti hatuna
Back
Top Bottom