Msaada plz

david shayo

Member
Nov 21, 2011
21
5
Salam wandugu naomba msaada plz rafiki yangu yamemkuta mkewe anatumia uzazi wa mpango{njiti} sasa anadai mkewe hana hisia tena yani hata azame chumvun hapati hisia vp mwamshauri nn?kwamba ukitumia uzazi wa mpango mwanamke hupoteza hisia?
 
mhh!! hayo madude yana mambo!!
ngoja wataalamu waje waelezee.
 
Ukitaka uzuri sharti uzurike ndiyo faida yake hiyo.Ukipanda viazi lzm uvune viaz na cyo almasi.

Alichokuwa anakitafuta kakipata so kwanin alalame???
 
Ukitaka uzuri sharti uzurike ndiyo faida yake hiyo.Ukipanda viazi lzm uvune viaz na cyo almasi.

Alichokuwa anakitafuta kakipata so kwanin alalame???

kKHA?JEMBE MWENZAKO AMEONA ASIONGEZE WATOTO BILA MPANGO NDO MAANA KAWEKA HIYO MAMBO UCKANDAMIZE SANA
 
mi ndo maana nsha mkataza wife kuyatumia......."WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA...." mungu alitupa akili akatupa na siku 14 za kufanya free bila kupata mimba ndani ya mwezi kwa nn tutumie majitu ambayo hayana maana?
 
Back
Top Bottom