Recent content by david Reuben tarimo

  1. D

    Yajue majengo yenye alama(symbol) za Freemason Tanzania

    Msitutoe kwenye reli tuambieni je wahusika waliosaini mikataba ya madini na gesi watachukuliwa hatua gani au ni yale yale ya Makonda na wauza ngada, au lugumi, au faru John maana hakuna lolote wahusika wamefanywa
  2. D

    Siri ya Gwajima kupendwa zaidi na watu tofauti na viongozi wengine wa kidini

    Hata mimi binafsi namkubali mno maana ni jasiri mno kusema anachokiamini
  3. D

    Askofu Gwajima amshukia Mrisho Gambo, amtuhumu kuleta Siasa kwenye Msiba

    Sio siri unatia aibu mnafiki mkubwa wewe, ingekuwa unakemea dhuluma wanayofanyiwa wapinzani nchi hii ningekuona uko fear lkn hapa huna lolote zaidi ya uchimvi na uzindaki mnafiki wewe, kumbuka kuna viongozi wa dini hawako kumuogopa mtu bali kusimamia kweli hata kama inakuumiza
  4. D

    Je, Nakumat Arusha nao wanafunga Biashara?

    Nakhumat bei zao ghali sana mfano wine ya sh.12000 wao wanauza 17000 so ni bora ukanunue kwenye mini supermarket
  5. D

    Inawezekana vipi video za Millard Ayo ziko clear kuliko TBC?

    Hakika sikumbuki mara ya mwisho niliangalia tbc lini na sidhani kama nitaangalia tena
  6. D

    JB: filamu ya Tunu ni tofauti na hizi zetu za bongo movie…!!!

    Huna jipya wewe maana tangu ujiingize kwenye siasa umechuja kinoma, in short nothing new, tafuteni shughuli nyingine za kufanya coz siasa za msimu na tamaa ya haraka bila kuangalia mbele imewaponza, njoo tupambane kwenye kilimo
  7. D

    Gwajima ni 'Threat to National Security', Mamlaka husika zimdhibiti

    Ifike mahali tuukubali ukweli japo una umiza, huyu Gwajima alikuwa kimya lkn watu wakaanza kumchokoza, sasa akijibu mnamuona mbaya acheni unafiki, mbona sijasikia hata siku moja mkikemea wanaomchokoza Gwajima au yeye hana moyo wa nyama kama wewe, acheni chuki za kijinga
  8. D

    Tundu Lissu hafai kuwa Rais wa TLS

    Hivi nchi hii kuwa chadema ni dhambi, kuwa ccm ni sawa, acheni chuki za kijinga wanasheria wa nchi hii watajua ni jinsi gani sheria ilibakwa na wanaccm na ndio maana wamekubali kubadilika, waachie jukwaa lao we kaa pembeni cheki gemu, nyakati za ndio mzee zimekwisha
  9. D

    Makonda: Nisemeni, mkichoka mtanyamaza

    Jamaa naomba niulize ni vita ipi ya madawa unapambana nayo kama sio usanii maana wale waliyokuwa wanatuhumiwa kuuza wamegeuka watumiaji isitoshe mmethibitisha kweli wanatumia je ni nani anawauzia ili tujue kweli mko serious na vita hii, mimi najua mtumiaji hafungwi bali ataishia kulipa faini...
  10. D

    Tundu Lissu ahojiwa Kituo cha kati kwa kutoa maneno ya Kichochezi ya Uwepo wa njaa nchini

    Hivi mamlaka zote tuzitii hata ya farao, nebukadreza na baali nazo tumeagizwa tutii, jaribu kufikiri mara mbili lengo hasa ni nini, maana kuna kila dalili ya kudhoofisha upinzani lkn upinzani hautadhoofika kwa wapinzani kukamatwa na kubambikiwa kesi ila maisha yakiboreshwa wapinzani ndio...
  11. D

    DAR: RC Makonda awataja Askari 9 watuhumiwa kushirikiana na mtandao wa Dawa za Kulevya. Wamo wasanii

    Mimi nafikiri hao waliotajwa ni dagaa tu mapapa na nyangumi hawagusiki hata inyeshe mvua ya mawe, maana huu wimbo haukuanza leo, but all in all bora kenda shika nenda kuliko kumi nenda rudi, hao hao dagaa watiwe adabu ili dagaa wengine wasithubutu
  12. D

    Huu ndio uhusiano wa mtandao wa shule za Feza, Uislamu, Ugaidi na Mapinduzi ya Uturuki

    Wewe unafikiri ni kwa nini wanahusishwa na ugaidi maana karibuni vikundi vyote vya kigaidi vina mlengo huu, hata mimi najiuliza sana lkn sipati majibu
  13. D

    Arusha: Lema amewapa kilema Wanaarusha

    YOU CAN JAIL YOUR OPPONENTS BUT CAN'T JAIL IDEA Maneno kama haya huwa yanaishi maana hata kama Lema hayuko watazaliwa kina Lema wengi zaidi, maana ni mahakama ya mafisadi imeamia kwa wabunge wa upinzani, nilitegemea ahadi na mbwembwe za mahakama ya mafisadi hadi leo wezi wa escrow, Richmond...
  14. D

    Faida na hasara ya kufunga ndoa na jini

    Majini, mathematics, mapepo wote hao ni wa kuzimu hakuna jini mzuri wote mawakala wa kuzimu, pamoja na washirika wao na wale wanaotafuta, wanaooa, wanaoolewa na hao majini na pia wanaowatumainia majini wote hao ni jehanamu ya milele
  15. D

    Rais Magufuli hayupo serious katika mapambano ya madawa ya kulevya

    Kwani uliambiwa yuko siriazi kwa lipi.
Back
Top Bottom