Yajue majengo yenye alama(symbol) za Freemason Tanzania

ALWATAN KIZIGO

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
539
642
Katika jamii ya Freemason alama ya jicho na alama ya pembe tatu ni miongoni mwa alama kuu za ibada katika jamii hiyo.

Alama ya jicho (All seeing eye ) ni alama ya jicho la muungu wa kifremason aitwaye Horus.
Na alama ya pembe tatu inamaanisha miungu mitatu ya freeamason ambayo ni muungu wa kike aitwaye Isis, muungu wa kiume osirus na muungu wa kuzalisha amabaye ni horus.

Sasa kiasili jamii hii ya freemason ni ya wajenzi huru wa majengo makubwa makubw ana madaraja .
Sasa ni kawaida yao kampuni za kifreemason zikijenga majengo kuacha alama (Symbol) katika majengo hayo .
Alama hizo (Symbol) ni alama ya jicho na alama pyramid.
Yafuatayo ni majengo yaliyojengwa na kampuni za kifreemason kutoka a na alama zao walizoziacha hapo.

1.Jengo la machinga complex Ilala .Ukiliangalia kwa juu lina alama ya pembe tatu na duara linaloashiria jicho.

2.Jengo la walimu Ilala Boma .Lina alama ya pembe tatu na duara la jicho.

3.jengo la bunge lina alama ya pembe tatu na jicho.
Hata katika meza za bungeni tazameni kwa makini kuna alama ya pembe tatu.
5.Jengo la mawasiliano kwa juu lina alama ya pembe tatu.

6.Majengo pacha ya bot yanaashiria Namba 11ambayo ni number ya kafara ya Freemason.(Mnakumbuka tukio la September eleven 11).
Pia alama za clock tower kuanzia za kule London hadi pale posta ni miongoni mwa ujanja ujanja wa Freemason katika kuweka alama zao katika miji mikubwa duniani na new world order.
Kazi kwenu wadau kuchunguza alama hizo katika majengo hayo na majengo mengine pia nchini
 
Wajenge tu,hata floor tiles za magogoni ni black nwhite...lakini sisi hatudanganyiki tunaka hela zetu za makinikia.
 
hata picha hamna, sisi tulioko kibiti tutaelewaje kuhusu hayo mafiriimasoni? lakini inaweza kuwa ni uoga wako tu, hakuna cha masonic wala nini
 
Msitutoe kwenye reli tuambieni je wahusika waliosaini mikataba ya madini na gesi watachukuliwa hatua gani au ni yale yale ya Makonda na wauza ngada, au lugumi, au faru John maana hakuna lolote wahusika wamefanywa
 
Kuna upumbavu mwingine ni aibu hata kuusoma, huwa najaribu kujiuliza lengo hasa ni nini kuingiza hofu kwa wasomaji sijapata jibu. Mtu kujiona ana maarifa ambayo wengine hawana, kitu ambacho hakina uhalisia, nina shaka hata familia zao sijui wanaendeshaje,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom