Mr Adam Gella
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,327
- 664
mkuu hivi ni makinika au makinikia?Hiyo Budget ya Trillion 30 itafadhiliwa na Makinikia.
mkuu hivi ni makinika au makinikia?Hiyo Budget ya Trillion 30 itafadhiliwa na Makinikia.
nimepit Nakumat ya Mlimani City .... siyo siri kuna kitu .... upo sahihi mkuuKama wewe ni mteja wa NAKUMAT arusha ukienda kwa sasa kuna hali isiyo yakawaida, shelfu zinaanza kukauka, Nahisi jamaa wanamaliza Stock kwa sababu hata Huko Kwao wamefunga Branch kibao.
Mkuu Leo nimeingia pale kweupeee hakuna kitu . Sijui ndo wanafunga biashara .Kama wewe ni mteja wa NAKUMAT arusha ukienda kwa sasa kuna hali isiyo yakawaida, shelfu zinaanza kukauka, Nahisi jamaa wanamaliza Stock kwa sababu hata Huko Kwao wamefunga Branch kibao.
tunashukuru kwa rai yako muheshimiwa...na wachumi wetu akili hamna bwanah...tupa kule tuHamkumsikiliza raisi wa bank ya dunia alivyomchana Magu pale uzinduzi wa mwendokasi? Uchumi unatakiwa ukue kwa wananchi na sio maandishi na maisha magumu
good night bossHalafu anakuja mtu kavaa suti na koti kubwa hadi mikono yake haionekani anakwambia " Uchumi wetu unapanda na Shilingi inazidi kuimarika dhidi ya Dola "
Uongozi wetu na hatma ya Tanzania.
Mkuu yani juzi nimeingia nakumatt ya hapa dar es salaam maeneo ya kamata nikaona kitu hicho hicho. Yani shelves ni nyeupeee.....sijui hii ni UCHUMI part 2.Kama wewe ni mteja wa NAKUMAT arusha ukienda kwa sasa kuna hali isiyo yakawaida, shelfu zinaanza kukauka, Nahisi jamaa wanamaliza Stock kwa sababu hata Huko Kwao wamefunga Branch kibao.
Halafu anakuja mtu kavaa suti na koti kubwa hadi mikono yake haionekani anakwambia " Uchumi wetu unapanda na Shilingi inazidi kuimarika dhidi ya Dola "
Uongozi wetu na hatma ya Tanzania.

Kweli kbsMall zimefunguliwa nyingi. Watu wanamaeneo tofauti ya kwenda tofauti na hapo mwanzo.
MniimbeeeSitawaangusha
MniombeeSitawaangusha