Tatizo kila kitu hapa JF mnapeleka kishabiki. makonda si kijana wa kupuuzwa. uwezo wake wa kujenga hoja na kuisimamia si wa mchezo. kama mnyika anahitajika ubungo makonda si mtu sahihi kumsimamisha. mchuano wao utakuwa mkali na lolote laweza tokea kwa yeyote. wote ni vijana, wote ni wana...
Waliopo hatuwataki na tunaowataka hatuwaamin-Mrisho Mpoto.
uchunguzi wa twaweza unaonyesha kuwa 70% wa watz hawaamin km upinzan uliopo ukiingia madarakan utaondoa rushwa...!
msimlaum Nyerere na kutukana Watz. had sasa hakuna upinzani wa kweli ulionekana. na vuongozi wa upande opposition...
Nlidhan majukwaa haya yametawaliwa na watu wenye kasoro ktk kuelewa mambo pekee kumbe mpo wachche mnaeza kuelewa. wasaidie wengne kuweka hukumu yoote maana seems wanategemea itv itanangaze wakt hukumu iko cheaply available kubenea ama kibatala wote wanaeza kuiweka hapa kitahisi tu.
bora kukaa...
Busara ni pale mtu mjinga anapokosa cha kuandika huamua kukaa kimya. inabaki siri yake. kuliko ukatumia muda wako kukashifu michango yenye tija kwa Taifa
Kukubali kwamba hujui jambo si ujinga. unatoa mwanya wa kufafanuliwa. hakuna anayejua kila jambo duniani. inawezekana sio kuwa hamjui taratibu za kufuata had chama kinazaliwa. chama makin hakipaswi kuanzishwa juu ya focus ya ku deal na CCM. Chama cha watu makin huandaa dira (vision), hutengeneza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.