DAVID MWAKIPOSA
Member
- May 4, 2013
- 39
- 2
Tanzania sio nchi inayowajibika,fikiria kila mjumbe alikuwa anapewa laki 3 lakini wananchi wake kibao maskini,wajinga maana hawana elimu na uwezo wao ni mdogo sana,hawana nyumba maana nyumba zao kama za kujificha,hawapati habari.....yaani tanzania ni shida sana,Acha mjini hapa.HALI NI MBAYA.
Waliopo hatuwataki na tunaowataka hatuwaamin-Mrisho Mpoto.
uchunguzi wa twaweza unaonyesha kuwa 70% wa watz hawaamin km upinzan uliopo ukiingia madarakan utaondoa rushwa...!
msimlaum Nyerere na kutukana Watz. had sasa hakuna upinzani wa kweli ulionekana. na vuongozi wa upande opposition wengi ni maslahi. wanahubiri wasichokiamin. maish wanayoishi hayafanan na wanaowaongoza. Nchini Urusu V.I Lenin aliaminika haraka kwa sababu maneno na matendo yake viliakisi dhamira ya dhati ya kuwakomboa warusi. halikadhalika nyerere, nkurumah, castro nk. kati ya Mbowe, Lipumba, lisu, dr slaa kuna dalili ya dhati ya mapinduzi hapo? watu wanakufa njaa kiongozi anabadlisha wanawake mataifa ya ulaya. ktk Tafa ambalo maadili yameporomoka kuanzia ngazi ya familia ni busara kiongozi aonyeshe ukomavu wa kusimamia maadli kuanzia ngazo ya familia, ndani ya chama na kitaifa. Ukombozi wa maisha ya watz kuanzia level of individual na kujenga taifa imara sawa na raslimali zilizopo utapatikana pale tu viongozi shupavu, waadilifu, na wanamapinduzi ya kweli watakapoinuliwa. sio vichaka vya wezi a wasanii waliotapakaa barabarani