Recent content by David Mamba

  1. David Mamba

    JamiiForums Tanzania Bsc of Agrieconomics and Agribusiness

    Ni course nzr au sio nzr kwa maish ya kujiajili....au nyingine nzr zaid ipi kwa business ...msaaad WanaJf
  2. David Mamba

    JamiiForums Tanzania Maeneo ya kupumzika na ku refresh Dar es salaam

    Laki 4
  3. David Mamba

    JamiiForums Tanzania Maeneo ya kupumzika na ku refresh Dar es salaam

    Habari wakuu... Ni sehem gan nzr ya kuenjoy na mpnz wako hapa Dar ambapo sio expensive ..ambapo ni cheap....msaada wadau
  4. David Mamba

    JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    Shukran ...so hyo financial intelligenc inawanja mkubwa wa kaz
  5. David Mamba

    JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    Tunaangalia fursa. ..na pia upande mwingine pia bro
  6. David Mamba

    JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    Asante ...je vp nyingine course ya business ambayo ni uwanja mkubwa wa kaz tofauti na hyo....msaada
  7. David Mamba

    JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    Habari wanaJF....Nilikuwa naomba mnisaidie kujua ni course gani nzuri za kusoma chuo ....kama Alev ulisoma comb ya ECA ambazo zinauwanja mkubwa wa kazi baadae....Tafadhali naombeni muongozo na majibu katika hili Asante
  8. David Mamba

    JamiiForums Tanzania Cm yangu ya Alcatel ya voda haiwaki

    Yan cm yangu ya promo ya Alcatel zile ndogo za button ..inazingua haiwaki yan nnikicharge pia haingii ....na haiwaki na niliitumia kwa muda ila imeanza kusumbua hivi karibuni...naombeni msaada wenu kama mnaweza tambua tatizo nn nijue. ....wanna JF
Back
Top Bottom