Recent content by David Kiyoya

  1. David Kiyoya

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Muswada mpya wa Pensheni una matatizo makubwa

    Huu ni mwendelezo tu,mchezo ulianza pale walipolitoa fao la kujitoa mpaka usitaafu,kwahiyo tusubiri tuone kama michango yetu ya awali haitasoma watwambie iko wapi,kama tunaanza upya hela yetu tuchukue.
  2. David Kiyoya

    JamiiForums Tanzania NSSF WANATUNYANYASA KWENYE FAO LA MATIBABU.

    Inakuwaje mmeweweka ukomo wa sh.elfu arobaini kwa siku ilihali gharama za matibabu zipo juu,naomba mfikilie mara mbili kama kweli lengo la mfuko huu ni kutusaidia watu wa hali ya chini,sasa kwa mfano unaambiwa vipimo tu vinagharimu elfu thelathin ikifika kwenye dirisha la dawa unaambiwa ongezea...
  3. David Kiyoya

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo mbinu ya msanii kuepukana na unyonyaji wa Clouds Media na Media nyingine za ndani

    Dawa ni kuwa kazi nzuri,sio kulaumu media,miziki ya kongo haipigwi kwenye media zetu lakini nenda youtube wanavewers wengi sana.
  4. David Kiyoya

    JamiiForums Tanzania Anataka nimzalie mtoto ilihali mimi na yeye tuna mwezi mmoja kwenye uhusiano

    Biashara ni asubuhi zaa mapema maisha yaendelee.
  5. David Kiyoya

    JamiiForums Tanzania Sakata la Makontena ya Makonda: Rais Magufuli amshukia kama Mwewe, amtaka alipe kodi

    Tunashukuru kwa ufafanuzi huo,maana nilikuwa njia panda.
  6. David Kiyoya

    JamiiForums Tanzania Kagera: Mwanafunzi afariki dunia akidaiwa kupigwa na mwalimu wake akituhumiwa kuiba pochi ya mwalimu

    Ni hatari jamani walimu tuwe na kiasi na hasira za maisha.
  7. David Kiyoya

    JamiiForums Tanzania South Africa: Julius Malema ataka Kiswahili kiwe lugha moja Afrika nzima

    Ni lugha nzuri lakini watawala wetu wanaipuuzia.
  8. David Kiyoya

    JamiiForums Tanzania Serikali: Kila mtanzania atapaswa kumiliki laini moja ya simu, ukitaka ya pili unaomba TCRA

    Nahisi aliyetoa taarifa hiyo hajui kam kuna soko huria.
  9. David Kiyoya

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Hawa Ghasia na Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Jitu Soni wamejiuzulu nafasi zao

    Nadhani bado spika nae angejiuzulu kwani muhimili wake umemezwa na huu mkubwa maamuzi yote kule kwa mheshimiwa.
  10. David Kiyoya

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo mimi sio muumini tena wa Kanisa Katoliki

    Umefanya maamuzi sahihi kwani Mungu yupo kwa wale wamtafutao kwa bidii.
  11. David Kiyoya

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mahakama ya Kijeshi yamuondolea Bobi Wine mashitaka! Akamatwa tena sasa kushitakiwa Mahakama ya kiraia

    Unajua uoga wetu ndio umaskini wetu,lakini Bobiwine kaonesha haki inavyotafutwa,kufa kila mtu atakufa hakuna atakaye ishi milele yuko wapi MOBUTU.
  12. David Kiyoya

    JamiiForums Tanzania Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Wajinga ndio waliwao,tamaa za kutaka utajiri wa haraka.
  13. David Kiyoya

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania kufungia matumizi ya mitandao ya kijamii kwenye intaneti ya serikali

    Wablock tu,maana wamebadlisha matumizi yaliyokusudiwa.
  14. David Kiyoya

    JamiiForums Tanzania Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

    Aliyezoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi.
Back
Top Bottom