Kupambana na mfumo mbovu wa utawala ni sawa na kuamua kupita kwenye pori lenye wanyama wakali kama simba ukiwa na kisu tu, utaitwa majina mengi mabaya, kama vile GAIDI, HAINI nk lakini ukishapita tu majina hayo hubadilika na na kuwa sifa kabambe kama SHUJAA, MKOMBOZI nk, Safari hii ni ndefu...