Recent content by david b choka

  1. david b choka

    JamiiForums Tanzania Orodha ya ndoto (karibia zote) na maana yake

    NAOMBA KUFAHAM, NILIOTA NIKO KWENYE FOLEN YA KUNUNUA NYAMA YA MBUZI BUCHANI, NINI TAFSIRI YAKE.
  2. david b choka

    JamiiForums Tanzania Tiba ya Gastroesophageal Reflux Disease (GERD)

    Mimi binafsi kuna dawa huwa natumia ya kutokomeza acid, hii husaidia hata wenye vidonda vya tumbo, na kupona.
  3. david b choka

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mpenzi wangu akipost picha za rafiki zake wa kike status naumia sana

    Ni mawili, futa no yake au jitoe kwenye masuala ya fb Tweeter, wsp nk.
  4. david b choka

    JamiiForums Tanzania Hadi leo watumishi wa umma hawajalipwa mshahara, mtakuja kuwaua

    Mvute subira, ninavyo faham, mwisho wa mwezi bado, ikifika mda uta hesabiwa haki yako.
  5. david b choka

    JamiiForums Tanzania Nini tiba ya ugonjwa wa baridi yabisi ama rhumatisim?

    No yng ni,0755958420
  6. david b choka

    JamiiForums Tanzania Nini tiba ya ugonjwa wa baridi yabisi ama rhumatisim?

    Naomba mawasiliano, mke wangu ana teseka sana, hadi ninachanganyikiwa, naomba ufafanuzi wa tiba yake.
  7. david b choka

    JamiiForums Tanzania Wana Ndoa: Ikitokea Papa au Serikali wakafuta Ndoa zote:

    ndoa yahitaji uvumilivu, uc ombe kuwa singo, ina ugumu isiyo kifani ha ha ha ha
  8. david b choka

    JamiiForums Tanzania Wana Ndoa: Ikitokea Papa au Serikali wakafuta Ndoa zote:

    ndoa yangu c wezi kuikimbia, nitam taka huyu huyu nilie nae.
  9. david b choka

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Bei ya Vigae vya kuezekea nyumba

  10. david b choka

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anachelewa kurudi nyumbani

    Kwa fikra zangu, hapa hutapata jibu zuri, la maana kaa na mkeo mtafute ufumbuzi, kama ni mke wa ndoa kuna taratibu za kufuata, huyo ni mkeo, kama wewe ndie mwenye kosa atakwambia
  11. david b choka

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Kamati Kuu ya Chama cha ZANU-PF imemvua Uenyekiti wa Chama Rais Mugabe, Grace Mugabe avuliwa Uanachama

    matumizi ya nguvu ndio chanzo cha vurugu, wengi hawampendi/wanampenda.
  12. david b choka

    JamiiForums Tanzania Jeneza lilivyokataa kuingia kanisani kimiujiza

    Hayo yametokea, kama ni dhambi au nn, Mungu ndie anafaham.
  13. david b choka

    JamiiForums Tanzania Nyota ya Punda na character zake

    nyota zetu Zina shabihiana?
  14. david b choka

    JamiiForums Tanzania Nyota ya Punda na character zake

    Mzizi Mkavu:Mimi ni mshale, mke wangu ni punda, niambie, tuko pamoja ki elimu ya nyota?
Back
Top Bottom