Recent content by Davey15

  1. Davey15

    JamiiForums Tanzania Nimeona gorikipa Goalkeeper Yakoub Suleiman akienda simba imenipa mwaswali magumu sana

    UJui kama kuna maisha baada ya mpira wewe unadhani hizo sifa ndo zitampa chakula akishastaafu kabumbu
  2. Davey15

    JamiiForums Tanzania Jamii tuzungumze kuhusu baadhi ya wababa na matunzo kwa watoto

    Yani umeandika kama single mother huna point hata moja ningekuona wa maana kama ungeainisha shida zilizopo pande zote mbili sio kila anatelekeza hana akili na ukitaka moto uwake kama serikali wekeni sheria ni lazima kupima DNA kila mtoto anapozaliwa
  3. Davey15

    JamiiForums Tanzania CRDB mnazingua huduma za ATM na Sim banking

    MKuu subiri kunahela tunazitoa zimeingia kwetu kimakosa
  4. Davey15

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Watu wa mbagala utawajua tu
  5. Davey15

    JamiiForums Tanzania Vocational Teacher II (Carpentry and Joinery)

    Poa mzee mzeee
  6. Davey15

    JamiiForums Tanzania Msaada Interview ya vocational Teacher II-ICT

    Habarii wanaJF Nilikuwa naomba msaada kwa yeyote ambaye alishawahii kufanya practical interview utumishi ya VOCATIONAL TEACHER II -ICT wanaletaga practical ya namna gani maake sijawahii kufanya interview ya namna hii ya teacher .
  7. Davey15

    JamiiForums Tanzania Vocational Teacher II (Carpentry and Joinery)

    Kaka vipi hii ilikuaje practical yao ulivyoenda?
  8. Davey15

    JamiiForums Tanzania Je, hili limekukuta kuachwa na bus kisha ukatumia bodaboda kulifukuza bus

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  9. Davey15

    JamiiForums Tanzania Certification of birth certificate

    Ndio
Back
Top Bottom