Recent content by davetz28

 1. davetz28

  Mliooa kwenye familia za kimasikini na wewe mwenyewe masikini tupeni mbinu

  Mimi mmojawapo nakubali hali yangu na nina mtu anayejielewa anapambana sana anajipa moyo, anahangaika kwa ajili ya maisha Bora. Usijilaumu, wewe ulioa mtu siyo mali. Mpange mipango ya maisha kwa pamoja mshirikishane mtatoboa tu
 2. davetz28

  Gari nzuri ya CC chini ya 1500 budget 14m-18m

  Daa, kuchapiwa ni lazima kama ndo hivyo
 3. davetz28

  Kioo cha xiaomi MI pro

  Simu za oppo tatizo bei tu ila kwa vioo wamefanikiwa sana. Nimeangusha sana simu yangu protector ndizo zinapasuka
 4. davetz28

  Kuna Jamaa anamla Shemeji yangu

  Awe makini akimwambia shem wake kuwa analiwa awe imara maana shem atataka kymziba mdomo kwa kumtega ili aliwe kuzima kelele
 5. davetz28

  Mke wangu ni mfupi, je atazaa watoto wafupi?

  Wewe shida yako mke au nini? Katika zama hizi kuna changamoto nyingi sana kwenye ndoa tafuta mke ambaye mnapendana kwa dhati Bora uwe na watoto wafupi kuliko kuwa na mwanamke atakayekuliza kila uchao Watoto anatoa Mungu na mke MZURI anatoa Mungu ukitaka kuoa mke ili usifiwe shauri yako njoo...
 6. davetz28

  Hivi ni mimi tu binafsi siipendi hii tabia wakati wa kunyanduana au tuko wengi

  Kwani kila mtu akijifuta kuna shida gani? Hao wanawake mnawaonea sasa
 7. davetz28

  Asilimia kubwa ya wanandoa hawana furaha. 80% kati yao either wanajutia or they wish for divorce

  Kweli kabisa,wengi wanaoa lakini wanaoana ni wachache,sijui kama nitaeleweka hapa kwa kauli hii. Na ndoa za wanaooana zinavumilika na zinadumu lakini kashikashi kubwa zinatokea kwa wale wanaooa na kuolewa.
 8. davetz28

  Ulishawahi kula tunda kimasihara?

  Mungu ni mkuu,hebu tazama alivyowaunganisha,Mungu akitaka kufanya jambo lake hashinwi
 9. davetz28

  Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

  Sina uhakika na kuhama kampuni,kama tatizo ni kufanya utafiti na uchaguzi sahihi ni shida hata ukienda kampuni gani hutaweza pia
 10. davetz28

  Hivi nyie watu wa Dar mnaishije na hali hii ya joto?

  Hahaaa,nilikaa sana Dar na sekondari yangu nimesomea hapo kwa hiyo niliamua kubadilisha makazi tu
 11. davetz28

  Hivi nyie watu wa Dar mnaishije na hali hii ya joto?

  Hahaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 12. davetz28

  Hivi nyie watu wa Dar mnaishije na hali hii ya joto?

  Hatari mkuu,kila nikitembea nageuka,nafananisha tu Dar kubwa ila nimeona pia vitoto vidogo vina watoto
 13. davetz28

  Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

  Sasa si umeambiwa ndani ya masaa 24? Tuliomo hatuwezi kutatua tatizo lako
Top Bottom