Hawa wanawake wa leo wanampa dada wa kazi a-handle mume na watoto huku wao wakifuga kucha

Jamani bado tupo,uyo mwingine naona mimba ya mwezi utasema ana ya miezi nane yaani mwanamme ashageuzwa kama mke
 
Huwa sielewi
Nachojua , mwanaume anaandaliwa asbhi Ili aende kazini,bness....
Huo ndo ukweli!

Ila wanawake wengi
Kaka zangu Mungu awasaidie
Unajuwa kitu kimoja kipindi cha wazazi wetu ndio wali enjoy sana ila sasa hivi hamna mwanamke wa hivyo katika 10 basi ni 2 ndio wana afadhali na sio zaidi ya hapo...
 
Pale umapogombana na mkeo hakuna kuongea mwezi miezi mitatu basi furaha yako unampelekea dada wa kazi
Hapo sasa unajenga au una bomoa nyumba??maana dada wa kazi ataanza kumdharau mama mwenye nyumba
 
Ndege wafananao huruka pamoja,uliamua kuchagua mke mwenye kucha na nywele bandia pamoja na kope ulitegemea kucha bandia zinafua na kupika?mbaya zaidi mkatongozana kupitia Instagram na Facebook hiyo ndio fani yake vumilia
 
Unashangaa beki tatu ndiye anampangia nguo za kuvaa mwanaume za wiki nzima, anajua suruali hii inaendana na shati hili na kiatu kile.Manake mkiambiwa mnasema mmechoka sasa hata hili nalo la nguo......kuna mabeki tatu wanafua mpaka chupi za ndani za mke na boxer za mume.Hilo halitoshi beki tatu anajua mpaka chakula anachopenda mme wako wakati ww hujui.
 
Unashangaa beki tatu ndiye anampangia nguo za kuvaa mwanaume za wiki nzima, anajua suruali hii inaendana na shati hili na kiatu kile.Manake mkiambiwa mnasema mmechoka sasa hata hili nalo la nguo......
, kuna mabeki tatu wanafua mpaka chupi za ndani za mke na boxer za mume.Hilo halitoshi beki tatu anajua mpaka chakula anachopenda mme wako wakati ww hujui.

Kweli kabisa 100% unapochagua beki tatu chagua mzuri mzuri utanishukuru baadae
 
Ndege wafananao huruka pamoja,uliamua kuchagua mke mwenye kucha na nywele bandia pamoja na kope ulitegemea kucha bandia zinafua na kupika?mbaya zaidi mkatongozana kupitia Instagram na Facebook hiyo ndio fani yake vumilia

Ukitafuta ndefe unayefanana nae wewe niite mbwa nimekaa pale
 
Mwanamke unaemtaka unamtengeneza ww awe vile unataka
Sitaki hiki,sipendi hiki...
Sili chakula Cha house gal...nguo zako asifue house gal....nk

Ss vijana mmekuwa wapole mno
Ndo maana sitaki mwanaume mpole,look
Anaweza asiwe mpole ila akawa kolo kwako. Na hao ndo wengi zaidi.
 
Back
Top Bottom