Bei na tofauti ya laptop na desktop

Bei na tofauti ya laptop na desktop

Mkuu vipi kwa matumizi ya biashara ya stationery ni desktop ipi itanifaa zaidi na bei yake?
Desktop yoyote stationary inafaa hata kama specs ndogo. Kusave hela tafuta hata i3 ama i5 gen za zamani kama ya 4 hivi, Hizi unapata chini ya laki na nusu, ama pentium mpya kama gen ya 8 bei humo humo.

Then unai upgrade kulingana na mahitaji yako.
Vitu muhimu ni kama
-ssd ili kufanya machine iwe responsive na. Kazi zako ziende kwa haraka
-ram uongeze minimum 8GB ila kama budget inatosha 16GB nzuri.
-network card ili upate wifi na Bluetooth, itasaidia kuhamisha mafile bila waya hasa wateja ambao doc zao zipo kwenye simu na. Hawana cable/flash.

So roughly around laki 2 mpaka 2 na nusu unakamilisha hivyo.

Kama stationary yako unafanya na editing utahitaji machine kubwa zaidi minimum gen ya 7 intel ama machine ya juu ya gen ya zamani uinunulie gpu, kuna gpu za Quadro nzuri kwa Editing unapata laki kushuka.
 
Ram za ddr4 ambazo kila moja ina 8gb
bei ni 30,000 Tu.
ukichukua zote 2 yaani 16gb nakufanyia kwa 50,000.
Nipo kimara Dar es Salaam
0782780980
InShot_20250112_135018104.jpg
 
Mkuu bajet ya 1m napata laptop gani nzuri 14" kwa ajili ya programming. Brand new
Ryzen 5xxxU kama first priority, ama i3/i5/i7 gen ya 12 kupanda.

Hii 5500U Recomended price yake ni around $200-300 so kuanzia 600,000-850,000 hivi sokoni sio bei mbaya.

Mfano kama hii wanauza 1M unamshusha

Ram minimum 16GB na storage sio muhimu sana zinabadilishika.

Hizo ni Cpu ambazo zina balance Perfomance na efficiency hivyo ukaaji chaji pia utakua mzuri

Baadhi ya links nyengine

Hii ina ram 8GB tu ila bei ipo chini, unaweza muuliza muuzaji kama kuna free slot ya ku upgrade kwa budget yako unaweza kwenda 16GB.

Hii imezidi kidogo Budget yako ila ni Ryzen 7 5825U ambayo ina nguvu zaidi just in case ikiwa budget yako ni flexible.
 
Kaka kuna hii nimeona Alibaba ila sijaelewa feature yake na unavyojua hawachelewi kukupiga wachina(Utapeli)..kama kuna kitu nashida nacho ni PC aisee hasa kwenye kazi za programming.i7 ila bei ya kizalendo..SSD itapendeza zaidi pia naona kuna nyingine hybrid zina HDD na SSD yani unyama mwingi izo sijui ni aina gani...Pia upana muhimu atleast ianzie inch 16+..backlight keyboard..Recommendation hapaView attachment 2878683
Ipo hp 255 G9

Core i5 12th gen
16GB Ram
512GB ssd
Battery 8hrs/above

Clean na box lake lipo

@1M
 
Attachments

  • IMG-20250612-WA0010.jpg
    IMG-20250612-WA0010.jpg
    363.6 KB · Views: 6
  • IMG-20250612-WA0009.jpg
    IMG-20250612-WA0009.jpg
    394.6 KB · Views: 16
  • IMG-20250612-WA0008.jpg
    IMG-20250612-WA0008.jpg
    372.2 KB · Views: 11
  • IMG-20250612-WA0007.jpg
    IMG-20250612-WA0007.jpg
    74 KB · Views: 11
Uzi muhimu sana huu, Asante mkuu kwa kutupa elimu.Niliwahi nunua computer nisijue chochote ili mradi tu ni computer matokeo yake iliharibika mapema
Sasa nina swali moja pengine linaweza kuwa refu kidogo.
Nataka kununua tena laptop ambayo nataka kufanyia online market na graphics na kwa siku za usoni nitaongeza shughuli kwa kutumia computer kama kozinza mtandaoni na kadhalika.
Je natakiwa kuangalia nini ninapotaka kununua laptop?
2. Je specifications zipi natakiwa kuzingatia ninaponunua computer tena.
3.brand zipi za computer ni imara na zinadumu
44 Naweza kupata wapi kwa kariakoo laptop nzuri zenye sifa hizo kwa bei nuu ya chini ya 700,000-750,000/?
Asante sana kwa muda wako
 
Mkuu pitia huu uzi kuanzia mwanzo utapata jibu la swali lako... Kuna recommendation nyingi zipo kwenye huu uzi.
 
Mkuu hii apa unanishauri vp
Hii kali zaidi mkuu, ipo kwenye budget yako? If you don't mind share duka mkuu.

Hii nzuri kuliko zote nilizo recomend kabla, cpu ni kama zile Ryzen 5xxx niliokwambia mwanzo ila walifanya refresh ya gpu, so hizi kwenye graphics zipo vizuri.
 
Tsk electronics 0764071634
 
Back
Top Bottom