Recent content by Daudimtwale

  1. Daudimtwale

    JamiiForums Tanzania Miaka 9 katika ndoa - Simuelewi mume wangu naomba ushauri

    Nimesha kutana na watu wengi wenye matatizo hayo nitafute nitawasaidia piga namba hii ya office 0689093330
  2. Daudimtwale

    JamiiForums Tanzania Simu mpya toleo jipya la Huawei ascend G750_u10 inauzwa

    Simu mpya ya huawei ni p7 ndiyo latest ambayo inawezo mkubwa na nizuri sio hii inayo tutangazia hapa
  3. Daudimtwale

    JamiiForums Tanzania Naomba mke wangu asije pata idea ya kuja Jamiiforums

    Mapenz ni kitu cha ajabu sana hayaitaji shule Wala darasa akuna shule ya mapenz japo ni kitu muhimu katika maisha ya watu hapa duniani
  4. Daudimtwale

    JamiiForums Tanzania Je hii ni sahihi kwa Wanandoa hasa wanaume?

    Kwanini?
  5. Daudimtwale

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye hela ni kila kitu japo muda mwingine inawagharimu

    Pesa ndo kila kitu akuna zaidi ya Pesa katika maisha ukiwa na Pesa utapata kila kitu maishani napenda mwanamke anaependa hela usipopenda hela utapenda nini?
  6. Daudimtwale

    JamiiForums Tanzania Je hii ni sahihi kwa Wanandoa hasa wanaume?

    Kutakua na kitu katika ambacho mdada kashwindwa kuku hadithia baina ya family hizi mbili family ya upande wa mwanamke kunajaambo hambalo watakua wamemkosea jamaa wa kiume ndo mana anaona akuna haya ya kupita ukweni hii ndo sahihi
  7. Daudimtwale

    JamiiForums Tanzania Polisi wasambaratisha mkutano wa CHADEMA wa Uchaguzi kata ya Moshono, Arusha

    Serikali iliopo madarakani imeishiwa mbinu za kuendelea kuwa fanya watanzania kuwa vibonde hivyo wamekua wako tumia nguvu ili watanzania wasiweze kuzijua haki zao za kimaendeleo na mengineyo mengi Haito saidia kwa sasa zaidi ya kujivunjia heshima
  8. Daudimtwale

    JamiiForums Tanzania Maalumu kwa watu wazima tu!!

    Duh....ni balaa nacho jua Mimi mapenzi ni hisia unaweza ukajizungusha ukajituma ukafanya kila kitu ambacho unakijua na unahisi wewe ndo fundi mtaaramu ila mwenza wako kama Hana hisia na wewe vyote ni bure tu
  9. Daudimtwale

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume huwa na michepuko?

    Mchepuko sio mpango ila kuonja inafaa Mara moja moja hahahahahaa
  10. Daudimtwale

    JamiiForums Tanzania Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    serikali 3 imesimama kwa mtazamo wangu.nikiwa na maaana 1.itakua ya muungano wa tanzania na znz 2.serikali ya tanzania bar 3 .serikali ya znz hizi mbili zitakua zikifanya mabo ya husio maeneo husi na hii kuu itakua inaungalisha shunghuri zote ambazo zitakua zimetendwa na serikal hizo zote...
  11. Daudimtwale

    JamiiForums Tanzania Picha: Mrembo wa Kitanzania aliyekamatwa na heroin China

    Watu wote walio fanikiwa duniani wale walio jitoa muhanga uwezi fanikiwa bila kujitoa ongera sana dada kwa kuthubutu
  12. Daudimtwale

    JamiiForums Tanzania PICHA: Zitto Kabwe afunika Mkutano wa Hadhara huko Kigoma Mjini

    Mbona watu hakuna na wamekuwa wanyonge na kiongozi huyu hawana furaha jamani Kigoma
  13. Daudimtwale

    JamiiForums Tanzania Nimekubali kuwa CCM ndicho chama pekee cha siasa

    Akuna Chama ------- Kama ccm na viongozi wake sisi watanzania tunaitaji mabadiliko sio kuongizwa kwa mazoea na kulithishana tuonaitaji viongozi bora na wenye kujari maslahi ya watanzania
  14. Daudimtwale

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa atikisa Iramba Magharibi- Singida

    Tunaimani kubwa na chadema peke yake ndo chama kinacho wapenda watanzania japo kuwa wengi hawajarifahamu Hilo safi sana Kamanda pambana
  15. Daudimtwale

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday mimi

    Ongera kwa miaka kadhaa ulio bahatika kuwa katika ulimengu wa shida,Raha,starehe,majanga,ufisadi, na mengine mengi tuonakuombea uendelee kuishi ili uyaone mengi zaidi na zaidi.asante
Back
Top Bottom