Asante best ladyfurahia kwa keki, Leo nitakuwa maeneo ya Breakpoint Kijito Nyama nijipongeze kidogo lakini kabla ya hapo nitazungukia kwa ndugu na jamaa wenye uhitaji niwape kidogo na wao
Happy Birthday our friend. I hope you will celebrate it happily.
Say hi to your broda Ruhazwe JR.
waonaje nikajumuika hapo au?
zimefikaa ArushaoneHappy Birthday our friend. I hope you will celebrate it happily.
Say hi to your broda Ruhazwe JR.
happy birthday my young brother Mu-sir Mwenyezi Mungu mwenye wingi wa Rehema akujalie maisha marefu mazuri yenye baraka teleNachukua nafasi hii kumshukuru Mungu na wazazi kwani ni siku ambayo nilikuja Duniani miaka 25 iliyopita. Napenda kujipongeza na kuwashukuru wote walionitakia Siku hii kuu njema na Nawapenda wote. Updates baada ya kutafakari sana nimeamua kusherekea siku hii kwa kuichangia JF pia. Naomba mkuu Invisible nipe utaratibu wa kuchangia kwa Mpesa