Nimekusoma ila kwanini wasimftilie walie mtumia wanifwatilie mimi
Badayakjua jama kaningiza kwenye matatizo nilimfwa nikamwambia
Alichonijibu nikwamba nipe hiyo ela niliyokupa alf wakija walete nyumbani unapajua kwakigezo kwamba mimi sina kosa naiyo line aliyo tumia kunitumia ela niyawakala...
Bada ya jamaa kutuma ela kwangu line yake akatowa hewani kwaiyo mimi niko hewani na nikwa nimemtolea hiyo ela walicho fanya wakafatilia wakakuta imetoka kwa jamaa imekuja kwanngu nami kwakuwa sikuwa nshaka najamaa nilito bila wasiwasi nikampa ela yake
Wakala alikosea kutuma ela akatuma kwa jamaa angu. Jamaa fasta ile ela akatuma kwangu bila hata kuniuliza
Namimi line yangu ilikuwa nadeni ile ela imeingia jama anambia nitole hiyo ela nitaikuata nikaona fast nijaribu kuiamisha kabla awajakata deni lao kumbe nimechelewa waashakta deni lao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.