Wadau heshima kwenu, naomba msaada, mwaka jana mwanzoni nilikuwa napata channel za South africa SABC1,2,3 & eTV local for free, baadaye nikawa sizipati tena, kuna fundi alikuja akasema nifunge RNB ya pili kwenye dish yangu lkn bado haikusaidia, je kuna mwenye ufahamu anisaidie jinsi ya...