Recent content by dataone

  1. D

    Kassim Majaliwa anafaa kuwa Rais baada ya Magufuli. Anaonekana ni mtu mstaarabu

    CCM kuna mtu wakuamini tena Post sent using JamiiForums mobile app
  2. D

    Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    Niliwahi kusema humu siku moja. Unawezaje kutoa video tatu kwa mwezi mmoja ukiwa msanii mkubwa kama diamond! unakimbia kwenda wapi, unamwogopa nani, hujiamini au hili ni tatizo kwa diamond. Mimi nadhani huu ni wakati wake wakusikiliza ushauri kutoka kwa watu asirudie makosa kama, single ya...
  3. D

    Dr Mwakyembe: Mtu yoyote akiingia uwanjani kumkumbatia mchezaji, atapewa kifungo miezi 6

    Kifupi mwakyembe ni mbwiga yaani popote pale alipo mwambie Yule dataone wa JF kasema wewe ni mbwiga na mpumbavu kama alivyosema mkapa Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
  4. D

    Malumbano ya hoja ITV jana walishiriki watu 12 tu, je hoja siku hizi hazina mvuto?

    Ukaishia lupango au mwaka 2015 walikuwa vizuri sana hawa jamaa Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
  5. D

    Malumbano ya hoja ITV jana walishiriki watu 12 tu, je hoja siku hizi hazina mvuto?

    Jana nikiwa naangalia malumbano ya hoja kupitia ITV nikashangaa kuona washiriki wako 12 tu kitu ambacho siyo kawaida. Je siku hizi hoja mnazotoa ITV hazina mvuto kwa watanzania au kitu gani kimewapata . Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
  6. D

    Mlima Kitonga vs Mlima Sekenke, upi mkali?

    Sekenke hakuna mlima tena ni flat area tu hiyo ilikuwa zamani Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
  7. D

    Wahudumu ndani ya ndege Kenya Airways ni homa ya uchaguzi au mmenyimwa mishahara yenu? Mmenitisha

    Walikuwa wako kwenye siku zao hao Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
  8. D

    Mwanamziki Diamond video tatu ndani ya mwezi mmoja za nini zote hizo.?

    Kwanza kabisa nakupongeza sana kaka kwa kazi nzuri sana, pia mimi nishabiki wako kwa kiwango cha lami. Sasa najiuliza kwanini umeachia video tatu kwa wakati mmoja( Fire, I miss you na Eneka) zote hizo za nini bado hujiamini? Kumbuka wewe ni msanii mkubwa sana hapa Tanzania na Africa unakimbia...
  9. D

    Watumishi wa umma ni lini mtaandamana kumpongeza Rais kwa kuboresha maisha yenu?

    Kumekuwa na maandamano mengi yakumpongeza mkuu wa nchi wakulima, wanavijiji, watumishi wa umma kwa mkuu wa nchi kulinda rasilimali zetu. Je ni lini watumishi wa umma mtaandamana kumpongeza Raisi kwa kuboresha maisha yenu.
  10. D

    Chato: Viongozi wa CHADEMA wakosa dhamana, warudishwa lumande mpaka Jumatatu

    Haya maisha yana mwisho Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
  11. D

    Take home ya TZS 435,000 nina mke na watoto 2 hapa Dsm,mambo hayapangiki nafwaa!

    Mimi nimekimbilia madale huku chumba na sebule safi vioo vya kuslide na luku yako mwenyewe choo ndani na cha public Tsh 100000 Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
  12. D

    Je, Ngeleja ni shujaa muadilifu mzalendo au kiherehere tu?!. Je, Escrow ni fedha za umma, za wizi?

    Wana wa lumumba naombeni jibu moja tu za umma au IPTL sitaki ufafanuzi wala maelezo. Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
  13. D

    Kwanini Mkapa anapendelea kuita Watanzania Wapumbavu badala ya wajinga. Kama taifa tukoje?

    Ujinga wetu ndiyo uliotufikisha hapa mtu kama mkapa kashiba pesa za wapumbavu anaishi kwa pesa za wapumbavu, analindwa kwa pesa za wapumbavu Leo hii wapumbavu hao wanatukanwa tena wapumbavu kwa kiwango cha lami. Watanzania mngekuwa na akili kama zangu watu kama mkapa tungekuwa tumemalizana nao...
  14. D

    Ngeleja amerejesha, Jeshi la Polisi lirejeshe pia mamilioni waliyopewa na Harbinder Seth

    Polisi rudishemi pesa za escrow Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
  15. D

    Kenya mshahara wa rais uko wazi

    Huku ile salary slip ya yule jamaa ilipotelea clouds 360 ambako aliwatumia wakati anatekeleza uongo wake Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom