Recent content by dasheziiii

  1. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa kwenda vita ya Uganda alikuwa kama nani?

    Wakati mwingine tujadili mambo ya msingi kwa sasa kwa ajiri ya Taifa letu. Mamvi wote tunamfahamu kazi yake ni kupiga dili ,vitani atakwenda kufanya nn!
  2. D

    JamiiForums Tanzania Serikali mbona kimya shule binafsi?

    Ripoti ya wakaguzi iliyoteuriwa na serikali kufanya utafiti Wa kina juu ya ada stahiki inakabidhiwa Leo. Ajabu mleta uzi Unakuja na majibu yako.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mgao wa umeme umeanza rasmi leo Dar

    Umeme mbona utakaa sawa tu kwa jembe Magu
  4. D

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Lazima kieleweke ndani ya mwaka huu.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Tumpe muda Pombe soon atahamia huko secta binafsi.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiyo Magufuli, Bila ya Chenga!

    Safi ndugu yangu Magufuli. Piga Nazi twende kitaeleweka tu.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Deni la taifa lafikia trillion 40

    Hii haikubaliki mtanzania mwenzetu anatunyonya harafu anaenda zake kupumzika Msoga. JPM tunamuomba asione haya kufirisi watu wa aina hii. Laana iko juu ya hili taifa.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

    Mamvi byeee3eeeeee
  9. D

    JamiiForums Tanzania Uhakika wa Lowassa kushinda sasa ni mdogo

    Mamvi tiari kashaanza kuchunga Ng'ombe Monduli
  10. D

    JamiiForums Tanzania Maajabu makubwa ndani ya CCM, Magufuli na Watanzania

    Huo ujinga Wa kusema Magufuli mweupe upstairs subiri aapishwe uongee huo ujinga wako .
  11. D

    JamiiForums Tanzania Times of Israel: Edward Lowassa is a reformer, partriot and a successful businessman

    Hawa jamaa Wa ugaibuni wanapenda kufanya mambo kwa faida yao. Acha amfagilie EL ataisoma namba.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Nani atawaruhusu CHADEMA kukesha?

    Ukitaka kujutia kuzaliwa jaribu kukusanyika eti unalinda kura!
  13. D

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Tanganyika packers: Kampeni ya chama cha demokrasia na maendeleo 01/10/2015

    Eti Utampeleka Edo Ikulu ww nan!? Cha msingi piga kura yako ukasinzie huko. La sivyo utajinyea kama ndugu yenu.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa hatukuwa rais kwasababu

    No Lowasaaa, No Lowasaa Ikulu itaiona kwa nje tu
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa havai vazi rasmi la CHADEMA maarufu kama gwanda?

    Ha ha ha huu mwaka mtajinyea sana na bado. Sasa hv zamu ya wanachama kujiny...a
Back
Top Bottom