Recent content by Darz

  1. D

    JamiiForums Tanzania Binadamu wa Kwanza aliishi Tanzania

    Jamani eti binadamu wa kwanza aliishi Tanzania, ninavyo fahamu Binadamu wa kwanza ni Adamu je, Adamu aliishi hapa Tanzania? tusaidiane jamani hizi history pasua kichwa. TTB yaitangaza Tanzania eneo bora la utalii duniani
  2. D

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    Tafuta app inayoitwa TUBEMATE siyo kwa google play haipatikani just search on google utaipata
  3. D

    JamiiForums Tanzania 1500 years Old Bible found in Turkey

    Jiongeze mkuu badoo
  4. D

    JamiiForums Tanzania 1500 years Old Bible found in Turkey

    Jiongeze mkuu
  5. D

    JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku matamasha ya fiesta

    Siyo wivu bro bali maadili ndiyo yanaangaliwa wewe utafurahi leo hii kumuona Bi. Mkubwa wako anavaa kimini alafu anakwambia naenda kwenye Fiesta
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Boss ananitaka kingono, nipo njia panda, naomba ushauri

    Pole sana Inshallaah Mungu atakujaalia utapata kazi nzuri kuliko hiyo
  7. D

    JamiiForums Tanzania Jumanne saa Nne na Nusu Tegeta kibaoni

    Daah... Nimeamini watu wakisema ukiona mwenzako ananyolewa we jiandae zamu yako na hii ilinikuta wakati narejea nyumbani kutoka kazi. Ilikuwa mida ya saa tatu hivi usiku nilikuwa nimechoka vibaya sana baada ya hapa kazi tu siku nzima nimetokea maeneo ya k/koo narejea nyumbani nikaingia zangu...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Business Cards

    Nicheki kwa hiyo 0658173859
Back
Top Bottom