Recent content by darthvader

  1. darthvader

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo ulivyopata Jina lako la “kizungu"!

    Hongera kwa kujitambua
  2. darthvader

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume na kuvisha wadada pete 'uchwara' za uchumba

    Kwahiyo siku hizi kuna; Wasomi uchwara Wanasiasa uchwara Waandishi uchwara Pete uchwara :D:D:D
  3. darthvader

    JamiiForums Tanzania Je, Polisi katika nchi za kiislam wana vikosi vya mbwa? Kama jibu ni ndio, kwanini wakati mbwa ni haramu?

    :D:D:D:D Mbwa hana uwezo wa kutumia kucha kuwinda mbwa sio jamii ya paka. Hizi habari mnazitoa wapi? Kingine mbwa akiwinda lazima ang’ate unless huyo sungura au swala ni mjomba wake.
  4. darthvader

    JamiiForums Tanzania Bila shaka siku hizi ujambazi umepotea

    Unaishi wapi mzee?
  5. darthvader

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuna mtu huniibia hela na kunichomekea noti bandia nyumbani

    Wife anampeleka jamaa jela muda si mrefu.
  6. darthvader

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuna mtu huniibia hela na kunichomekea noti bandia nyumbani

    Huyo mke umemuokotea wapi? Una bahati sana tu noti bandia inakupeleka jela. Hapo kwakifupi kama mtu ana uwezo wa kukutegeshea noti bandia ina maana hakujali yani we ni daraja kwake. Siku mtandao wao wa noti bandia ukisanuka unakuja kubebwa na wewe.
  7. darthvader

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya BAKHRESA ione haya kwa Mzee Majuto

    Kwa mujibu wa mahojiano yake na Millard Ayo mwaka jana alisema anavuta kama milioni 12 kutoka Steps kila mwezi.. Iweje anaomba msaada sasa? Wabongo kwa kujilizaliza na kuangushia shida zetu wengine hatujambo.
  8. darthvader

    JamiiForums Tanzania Nini hukumu yao siku ya Kiama kwa wale wasiopata neno la Mungu tangu wazaliwe hadi kifo?

    Kwanini huyohuyo mungu amewaumba hao binadamu yeye mwenyewe halafu tena baadae aanze tena kujitesa kutuma mitume wawafundishe kuhusu yeye na uwezo wake. Kwanini wakati anawaumba asingewaumba wamezaliwa wanamfahamu tayari? Kama vile ukinunua computer inavyokuja na operating system yake? Ni kama...
  9. darthvader

    JamiiForums Tanzania Hivi Mrisho Mpoto upepo wa Magufuli unamchanganya au?

    Naskia ana kipindi kipya Tbccm
  10. darthvader

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Msanii Jebby afariki dunia kwao Dodoma

    RIP swahiba
  11. darthvader

    JamiiForums Tanzania Nash mc afanikiwa kufanya ziara Ujerumani, Hip Hop Inalipa!!!!!

    Hii ni mwaka jana
  12. darthvader

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Hashim Dogo, Msanii bora wa Hip Hop Afrika

    Ndugu una uhakika na hii taarifa?
Back
Top Bottom