Wanaume na kuvisha wadada pete 'uchwara' za uchumba

Wanaume na kuvisha wadada pete 'uchwara' za uchumba

upuuzi Pete ya laki 3 so bora ufanye mambo ya msingi
 
Kwahiyo siku hizi kuna;
Wasomi uchwara
Wanasiasa uchwara
Waandishi uchwara
Pete uchwara 😀😀😀
 
Wenzako kwenye kongamano wanatamani hata hizo "pete uchwara"
 
Katika ujinga niliouona chini ya jua ni ufahari wakati kwenu ni msituni. Unataka pete ya million wakati ukija home uje kulala njaa.
Badala ya pete ya ufahari, nunueni samani mpya ya kuingia nyumba yenu nadhani huo ndo ufahari. Vijana wengi mnaoana huku mnakaa vijumba vya kupanga!! Its a shame man.
Mithali 30.
 
Pete uchwara ni raha sana,sasa kama msichana anajifanya mgumu si unatangaza uchumba na kapete kidoleni halafu somo linageuka hadithi ya kuku ha yai.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom