Recent content by DAROCKY01

  1. DAROCKY01

    Shaffih Dauda uko vizuri ila jitahidi sana ' uimarishe ' Kiingereza chako kwani ndicho Kinakuangusha na Kukufanya uchoreke

    oooh ok,mimi nimeona madharani watu tupo na mimi na swali naloitaji jibu nikaona haitakua na shida maana ni inshu ambyo nilitaka ifahamu,ila kwa sababu nimuuliza kitu ambacho sio kibaya nadhani nikipata jibu kwa anaefahamu itanifahaa zaidi.hata kama ww unafahamu basi naomb unifahamishe
  2. DAROCKY01

    Kupata internship za agriculture

    kuna kampuni zinazoweza kukuunganisha na hizo internship,iabidi ujiunge katika hizo kampuni maana ndani yake kunakua vikundi vinavyowezesha hayo mambo mfano ni Sugeco Pamoja na moja ipo Dar lakin sema jina sina kwa sasa
  3. DAROCKY01

    leseni ya udereva

    wadau gharama za kurenew leseni kwa hivi sasa ni bei gani maana muswada wa kupandisha bei niliusikia mwez wa saba lakin sijajua kama umepitishwa au bado.naomba mwenye kufahamu anijuze
  4. DAROCKY01

    Ni sahihi mwanamke kufika miaka 30 bila mtoto kwa kigezo cha kusubiri ndoa?

    Katika hili naweza sema mzazi inabidi aangalie akili ya mwanae ilivo,unajua kuna kichwa na kichwa chakutoka nyumbani na kwenda kujitegemea,na pia swala lingine la kuliangalia ni shughuli anazofanya huyo mtoto,anaweza kawa ameajiliwa mahali mbali na nyumbani na gharama za usafir ni kubwa akiwa...
  5. DAROCKY01

    Ni sahihi mwanamke kufika miaka 30 bila mtoto kwa kigezo cha kusubiri ndoa?

    ni sawa akisubiri ndoa,navofahamu katika mafundisho ya dini zetu tunazo sali sidhani kama kuna dini au dhehebu amabalo linahamasisha au kufurahishwa na muumini wao kupata mtoto nje ya ndoa,Uzuri wakupata mtoto ndani ya ndoa ni kwamba unajihakikishia malezi ya mtoto na upendo baina ya wazazi...
  6. DAROCKY01

    Kigezo cha kuoa mwanamke ambacho watu wengi hawakitilii maanani lakini ni muhimu sana

    hio kauli ya wa hovyo hovyo ina mapana marefu sana,mtu mwingine anaweza ashindwe kuitafsiri,minilicho ona nikwamba cha muhumi kuangalia mazingira ya mkeo au mmeo anapotoka,maana kuna tabia nyingine zinatokana na kimazingira,kila aina ya mazingira yana ustaarabu wake,jambo lingine nalo liona sana...
  7. DAROCKY01

    Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Nani alikuambia ujiungeee?madharani MTU anajiunga kwaa akili yke mwenyewe haina shidaa.serikali haikuunganishi na biashara za mtandaoni,ili kiepuka nao usijiunge.
  8. DAROCKY01

    BoT na CMSA wautahadharisha umma kuhusu Taasisi ya Upatu ya D9 Club

    Umetazama hio video aliekuwepo huyo advocate? Itazame kwanza ndio utaweza elewa. Pia sio wizara ya fedha Bali ni financial instutions ndio zilizokua zikipiga kelele,maana pesa nyingi zilikua zinapelkwa njee ya nchii
  9. DAROCKY01

    BoT na CMSA wautahadharisha umma kuhusu Taasisi ya Upatu ya D9 Club

    Ntaleta link ya watsup,maana maelezo ni mengi mnoo
  10. DAROCKY01

    BoT na CMSA wautahadharisha umma kuhusu Taasisi ya Upatu ya D9 Club

    Hello habari,withdraw haijasimama ila kinachofanyika ni utengenezaji was platform ya D9 ambayo itawezesha utoaji wa pesa kwa haraka zaidi,maana Mara ya kwanza ilikua ikitumika block chain ila ilionekana kuzidiwa maana member niwengi mno wanao request kutoa via bitcoin na hii ilikua ikichukua...
  11. DAROCKY01

    BoT na CMSA wautahadharisha umma kuhusu Taasisi ya Upatu ya D9 Club

    Hapana sio mpaka D9,ila tunapoona sehemu kunamafanikio tunapenda kuwashirikisha na watanzania wengine ilitunufaike wote
Back
Top Bottom