Recent content by Darkish

  1. Darkish

    JamiiForums Tanzania Burna Boy: Siwezi kutongoza Mwanamke wa Kiafrika, wananjaa sana, wanamtazama Mwanaume kama begi la hela

    Hivi wanawake anaowakubali ndio kama wale wanaowafilisi kina Tyrese Darnell Gibson, Ken Rathbun, Adrian Peterson, Elon Musk &Grimes, Deion Sanders, John Depp na Michael Jackson bila kumsahau Donald Trump vs Stormy Daniels kwa makesi ya watoto na mshiko!!!
  2. Darkish

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aongoza kura za mtandaoni dhidi ya Mbowe kwa kura asilimia 84 dhidi ya 16

    Kwani huyo Mbowe anataka awe Mwenyekiti mpaka miaka mingapi!!? Yeye awe mlezi tu wa chama kama alivyoachiwa na wengine.
  3. Darkish

    JamiiForums Tanzania Tumeshawaambia msisafiri na familia nzima katika gari moja ila hamsikii

    Wachawi wa pale milimani kwenye kona kona wanaangalia gari iliojaa wanafamilia. :eek:
  4. Darkish

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa WASAFIRI NA DIASPORA TU: Lets Go, Wale mliofanikiwa kwenda nchi za Ulaya au America tuambieni ni njia zipi mlizitumia??? AGENTS??

    https://www.aljazeera.com/news/2024/7/8/chinese-risk-perilous-journey-in-search-of-freedom-in-the-united-states
  5. Darkish

    JamiiForums Tanzania Haya ni makosa watu huyafanya na kuwagharimu kwenye ngumi za Mtaani (Street Fights)

    Kama hujawahi kupigana tangu utotoni hasa shule ya msingi basi usithubutu, ukimya ni silaha tosha.
  6. Darkish

    JamiiForums Tanzania Nissan na Honda kuungana kufuatia ushindani mkubwa kutoka China katika utengenezaji wa magari

    Kitu cha kwanza ni kufikiri kama Mchina. Anachofanya Mchina ni kuangalia kila fiction science movie kutoka kwa Wamarekani (zamani) halafu anazifanyia kazi katika maisha halisi, hiyo inaitwa trial and error (a problem-solving method that involves trying different solutions until one works)...
  7. Darkish

    JamiiForums Tanzania KERO PSSSF fanyeni malipo acheni urasimu

    Pamoja na huo mfumo bila wewe mwenyewe kufuatilia physically kuanzia kwa HR wako mpaka PSSSF kwenyewe basi utasubiri sana.
  8. Darkish

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwili wa Ulomi, Mfanyabiashara aliyedaiwa kupotea wakutwa mochwari Mwananyamala

    Abu Mohammed al-Julani wa Hayat Tahrir al-Sham (HTS) anawasalimia :Hello:
  9. Darkish

    JamiiForums Tanzania Toyota wazindua IST ya umeme: Urban Cruise EV

    Unazungumzia gari za battery wakati hata charging station hakuna, hizo gas station tu kizungumkuti.
  10. Darkish

    JamiiForums Tanzania Xiaomi 14 na Xiaomi 14 Pro: Mchina anaendelea kuleta competition

    Watu wanajali simu za bei mbaya wakati kuna Xiaomi Redmi 14C camera uwezo mkubwa kwa bei poa.
  11. Darkish

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaoishi maeneo haya na wenyewe wanajiona kabisa wanaishi Dar?

    Mji usiopimwa viwanja unategemea nini! Sasa hivi mwendo ni kutembea tu, tupo vizuri kubomoa barabara kuliko kukarabati zilizoharibika.
  12. Darkish

    JamiiForums Tanzania Hivi lengo la Hamas lilikuwa ni nini ile Oktoba 7, 2023?

    Kwa yule asiyefikiria mbali anafikira Hamas walikosea, sasa kwa taarifa tu lengo lao ni hili hapa kama hiyo lugha haikupi shida: https://www.msn.com/en-xl/news/other/un-general-assembly-passes-resolution-calling-for-palestinian-state/ar-AA1vfEOF
  13. Darkish

    JamiiForums Tanzania Naye Rais Mwinyi wa Zanzibar Atunukiwa PhD ya Heshima Katika Uongozi Unaoacha Alama na Chuo Kikuu Cha Zanzibar (SUZA)

    Kwanini Xi Jinping, Vladimir Putin, Joe Biden, Macron, Trump na wengine kama hao hawatunikiwi hizo PhD fake!!?
  14. Darkish

    JamiiForums Tanzania M-wekeza kutoka Vodacom Riba 13%

    Kwanza watuonyeshe kibali cha Benki Kuu (BOT) kuthibitisha wao kuruhusiwa kufanya biashara hii ili sasa tuwekeze. Kama riba ya M-pesa tu wanatoa gawio la shs 50/= usiku wa manane sembuse 13%!
  15. Darkish

    JamiiForums Tanzania Vijana graduates hawana ajira za kueleweka wenyewe wapo kimya

    Tutakapokataa msamiati 'Mjiajili' ndipo vijana watakapofunguka macho.
Back
Top Bottom