watanzani tuache unafiki ,jaji warioba katika rasimu yake ya katiba mpya alizungumzia kuhusu nafasi za ukuu wa mkoa na ukuu wa wilaya ,wanachi walizikataa hizi nafasi na yule anayewatua warioba alipendekeza apunguziwe madaraka ya uteuzi,mteuji hupo magogoni chamtemakuni wanakiona watumishi...
kazi ya kiongozi wa kidini ni kukosoa matendo mabaya ya wanadamu popote pale wanapoyatenda serikalini,misikitini,makanisani,nyumbani ,chumbani,chooni nakadhalika .wewe huna dini
inatia uchungu Taifa linapoanza kuchezewa na walioshindwa,hawakushindwa yale,bali watashindwa kila kitu.maajabu tanzania,WAANDIKE BARUA WAKIKIRI?,TOKA LINI?,
m
mkuu upo sahihi sana,wamegundua kuwafunga ni ngumu ,ushahidi hautoshelezi na ushahidi wao unaunganika vigogo wa awamu ya 4.kwa mara nyingine nchi imeingizwa hasara uwaweke watu ndani miaka minne halafu unatafuta njia ya kuwaachia ya kijanja kijanja,lazima kodi yetu iwalipe fidia
mungu atabaki kuwa mungu tu,risasi 30 hola hakuna binadamu yoyote aliyemtetea lisu dhidi ya risasi maana walinzi waliondosha ili wasisaidie wote wakaamwacha auawe kwa risasi la hasha mungu akazui mauti kwa lisu,wakajaribu kuzuia mshahara wakashindwa,hawa kuchoka sasa wamemvua mbunge msifikiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.