Rais Trump ajigamba kuwa china atakuwa mteja mkubwa wa bidhaa za kilimo nchini kwake

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Twitter Donald Trump
It is expected that China will be buying large amounts of our agricultural products!

Najiuliza kwanini CHINA isingekuja kuwekeza kwenye ardhi ya Tanzania ili bidhaa hizo za kilimo awe anachukulia Tanzania ili kukuza uchumi wa nchi yetu, kwa sababu tuna ardhi kubwa na maeneo mengi wanaweza wakalima vyakula vyao vyote kutokana na Tabia ya nchi maana inaruhusu why? kwanini akimbilie kununua marekani kumuongezea tajiri fedha.

Tatizo ni nini , kinachomzuia asije kwetu kuwekeza kwenye kilimo ni nini?

china.jpg
china 2.jpg
 
Ardhi ya watz ni Mali ya watz ,kama wanataka waje but sio kuwapa ardhi yetu, sincierly nazani product zetu hazina ubora unaotakiwa hivyo tu improve quality ya products zetu
 
We nchi gani akiingia rais huyu anakuja na sera zake mpya na kuvunja mikataba kibabe bila kufuata sheria akiingia mwingine nae hatambui mikakati na plani alizoweka mwenzie.

Na vipaumbele vya kila rais anayeingia vinatofautiana mwingine ilikua kilimo kwanza,akaja mwingine Tz ya Viwanda na anaweza akaja mwingine na slogan ya Tz ya Maduka ya rejareja/jumla jumla kwanza.
 
Wanaweza kuja kwetu bila shida...

Kwanza turekebishe sera zetu za uwekezaji iwe rafiki, hawapendi migogoro... sababu watakuja kutufumua tuje kuwalaumu...

Cc: mahondaw
 
Anaweza akaja mwingine akasema TANZANIA YA MIHOGO NA MAPERA
Na vipaumbele vya kila rais anayeingia vinatofautiana mwingine ilikua kilimo kwanza,akaja mwingine Tz ya Viwanda na anaweza akaja mwingine na slogan ya Tz ya Maduka ya rejareja/jumla jumla kwanza.
 
Na vipaumbele vya kila rais anayeingia vinatofautiana mwingine ilikua kilimo kwanza,akaja mwingine Tz ya Viwanda na anaweza akaja mwingine na slogan ya Tz ya Maduka ya rejareja/jumla jumla kwanza.
Hahahaaaa
Lile Tangazo la airtel linalosema
NAPIGA TU BILA KUANGALIA
Nadhani ulibuni wewe
 
Hiyo deal ya kuja kuinvest katika kilimo ingekuwepo kama wangepewa ile tender ya kujenga bandari Bagamoyo,.Ndiyo maana ya Mega port,Wangesafirisha mazao mengi kwa muda mfupi
 
Back
Top Bottom