Recent content by dariro

  1. dariro

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Dar Young Africans vs Mamelodi Sundowns yapewa heshima ya siku ya Mudathir aka Muda Day

    Mamelodi wa Tanzania wameruhusiwa kuvaa Uzi wa Ubuntu-botho?
  2. dariro

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya connect simu yako na Computer/ laptop kwa kutumia Xender

    Vincenzo Jr ni nitafaidia nacho baada ya kuunganisha?nakusudia naweza kufanya Nini na nini
  3. dariro

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Ni roma
  4. dariro

    JamiiForums Tanzania Tayari Watu wameshapigwa huko!

    Bado kalynda
  5. dariro

    JamiiForums Tanzania Simulizi gani ungependa kuziona baada ya kuwa umezisoma?

    Ni kweli????
  6. dariro

    JamiiForums Tanzania Simulizi gani ungependa kuziona baada ya kuwa umezisoma?

    Peniela, lini mtaandaa movie yake??
  7. dariro

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Tunasubiria mkuu
  8. dariro

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    SEHEMU YA 43. DAR ES SALAAM . Askari waliopewa kazi ya kumlinda mke wa mwamba Roma walikuwa wakiendelea na majukumu yao kwa weledi mkubwa Sana, huku wakitumia mafunzo yote waliyoyapata kutoka kwa eagles. Siku ya jumatano majira ya saa kumi jioni walimuona mrembo huyu akiwa katika viti maalum...
  9. dariro

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Hongera kwa kipaji Cha utunzi,tengeneza kitabu
  10. dariro

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya ujasusi: Do not shout (Usipige kelele)

    Hii hadithi Hadi nimeshasahau wahusika
  11. dariro

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro amtaka kijana anaitwa Shabani anaeonekana kwenye video akitishia mtu mwingine kwa bastola kujisalimisha polisi haraka sana

    Amefikia panapotakiwa kufikiwa,hapo anakuwa na ujasiri wa ajabu kuliko simba
  12. dariro

    JamiiForums Tanzania Mliosoma Zoology naomba mtoe maoni yenu

    Baadhi ya wachezaji mpira wanalazimisha afunge goli yeye hata kama mwenzake yupo sehemu nzuri zaidi ya kugunga goli.Na hivyo ndivyo wanaadamu tulivyo,tunapenda na kujali sifa na manufaa yetu kwanza na sio ya wengine. Marafiki zetu ni wale ambao watatusaidia kutunyanyua na kutufanya tuwe mabwana...
  13. dariro

    JamiiForums Tanzania Majina ya Vitongoji vya Dar yenye vibwagizo amaizing

    Ubungo mataa.... Ubungo maziwa
Back
Top Bottom