Jibuni hili swali ; KENYA v/s MOROCCO nani alifungwa ?
Acheni kukatisha watu tamaa likiwemo benchi la ufundi.
Kama wewe ni mzalendo wa kweli toa maoni yako hapa tutayafanyia kazi "Kama yanatekelezeka"
"KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE..................."
"Kwenye kinyang'anyiro hakikisha hakuna mtoto wa waziri au aliyewahi kuwa waziri na kinyume chake"
Kuna jamaa yangu hapa amenipa kibarua cha kumfuta machozi baada ya udiwani kwenda na maji 😭😭😭 !!!
Jana wananchi wamefurahi,ubaya -ubwela wamefurahi na watanzania kwa ujumla wamefurahi -kazi iendelee...........
Hakika MAMA unalitendea haki soka la Tanzania.
HONGERA SANA MAMA.Tupo pamoja sana !
Kupitia "goli la mama" tumeona Simba na Yanga zikifika fainali za kombe la shirikisho barani...
Ahsante sana mama kwa kuonesha "utu" kumkumbuka "rafiki yako katika kazi"
Kwa uzee wangu, nimeona umetekeleza wosia wa wazee wetu wa kale "Kama ulikuwa unawatembelea wazazi wako wakiwa hai (kijijini) kwa kuwasalimu na kuwapa zawadi basi endelea na utaratibu huo hata watakapo kuwa wameondoka...
Felix Mrema na Mrisho Gambo ni wabunge walioacha alama kubwa sana "Arusha mjini" ambazo haziwezi kufutika kirahisi vichwani mwao (hasa kwa watumishi wa umma)
Nina Imani kubwa sana na ajaye anaweza kuivunja rekodi hiyo (Kama akiamua).
(1) Felix Mrema - alisaidia sana kutatua changamoto...
Habarini za jioni hii,
Wakati majina yakitangazwa "mubashara" kulikuwa Kama na maelekezo ya Moja kwa Moja kwa wajumbe kumpitisha "mlengwa" katika kiti husika.
Rejea "waliopitishwa Jimbo fulani wako 7 akiwemo fulani (jina la muhusika).
USHAURI;
Wewe ambaye bado ni mdogo kiumri jipange kisawa...
Jana tuliona na wengine kusikia kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii ikionesha watumishi wa umma wakishangilia mitaani (kwa furaha na mbwembwe nyingi) baada ya kutoka "kudroo" chochote kitu NMB.
Leo katika pitapita zangu mtaani hali imetulia kidogo (kwa watumishi hao) ila nimeshuhudia...
KAMA UMESHINDWA KUTUPA KIFUNGU KWENYE KATIBA YA CHAMA KINACHOPINGA MAMA KUPEPERUSHA BENDERA KWA MIAKA KUMI (2025 - 2035)
Kwa nini upo kimbele- mbele kushupaza shingo.ACHA UNAFIKI.
SOMA HISTORIA NDUGU YANGU.Hakuna kipindi kigumu kuivusha nchi Kama kiongozi mkuu kufia kwenye "kiti".
NAWEZA...
Si mlikubaliana wenyewe ndani ya chama "Rais ahudumu miaka 10" ndio utaratibu wenu ndani ya chama 😂😁🤣 !!! Hapo katika imeingiaje ndugu.
Sasa hivi tupo 2025 - 2030 October kaweke "tiki" kwanza.
Kwa nini? Kwa sababu hakuwahi kugombea kabisa nafasi hiyo (ya kupeperusha bendera) na kuhudumu.
Tukumbuke Kila mgombea aliyeteuliwa alikuja na "falsafa" yake ya kuongoza nchi.
NYERERE - Siasa ya ujamaa na kujitegemea (falsafa mama).
MWINYI - Ruksa.
MKAPA - Ukweli na uwazi.
KIKWETE - Ari mpya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.