Recent content by dar2

  1. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ya mwanaume mpare na mzaramo yavunjika kisa mke hawezi kula kande na ugali eti akila tumbo huuma anataka chips na wali

    mpare kayatimba,,,, mpare na mzaramo wapi na wapi
  2. D

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam kilo moja ya mchele wanashiba watu wanne, Mikoani kilo moja mtu mmoja tatizo liko wapi?

    Dar watu wanabana matumizi, mtu anakula mihogo ya jelo na chai tena saa 5 asubuhi,,,,, huku mikoani tunajilipua... Yani tulime wenyewe hafu kula tule kwa kujibana?????
  3. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania hamna 5G Tigo wamenambia 5G ipo posta na masaki tu

    Posta na masaki kwa washua.... Sisi wa buza kwa mpalange tutaipata lini hiyo 5G?😂
  4. D

    JamiiForums Tanzania Raia wa Kichina (mfanyabiashara ) achezea kichapo leo Kariakoo kutoka kwa kina mama wanyonge wenye hasira kali

    Kwa kweli wanaume wa dar mnatuangusha kwelikweli...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Songea umeme unakatwa zaidi kuliko mji wowote Duniani kwa sasa

    Nimepakumbuka songea - msamala sekondary. . . .
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Kusikiliza Kiingereza Kisha Uandike Maneno (Transcribing)

    Mkuu niko tayari kwa hio kazi. Phone: 0654073693
  7. D

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kupeana connection za kazi kwenye makampuni na kupitia recruitment agency

    asante kwa taarifa , 0654073693 naomba kama hutojali nitafute kwa hiyo namba ndugu
  8. D

    JamiiForums Tanzania Bashungwa asimamisha kazi vigogo watano Mbulu

    Tangu alipotoka JAFO hii wizara ni kama haipo kabisa
  9. D

    JamiiForums Tanzania Anachokitafuta RC wa Kagera atakipata

    Wahaya ndio kabila pekee mtu anatumia bilioni 1 kama hela ya mboga
  10. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania General Hip Hop Awards

    Aiseeee kipindi hicho. . . BINGWA ZA BONGO. . yani unatamani nyimbo zote uzisikilize . . GK , mnyaru , sugu , nature , o ten , dulayo , 2berry , jay d , nura , k lyni , temba , chege , mchizi mox , zey b , q chief , mez b , bushoke , suma lee , suma g , watv pori , wakali kwanza , dulayo. ...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Serikali ikiondoa unafiki na chuki bado Kagera inaweza kuchomoza, Chalamila unatakiwa kujua haya

    Mkuu nasikia kagera kila nyumba kuna profesa . . Ni kweli ??
  12. D

    JamiiForums Tanzania RC Fatma: Mtu atakayepora kishikwambi cha karani wa sensa, tutamchukulia hatua kali sana

    Bongo unaijua au unaisikia.... Mbona nilisikia njombe kuna makalani walilewa pombe wahuni wakapita na vishikwambi. .
  13. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kwenye Shirika au Taasisi yoyote ya Elimu

    Habari wana JF, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 na muhitimu wa SHAHADA YA ELIMU KATIKA SERA, MIPANGO NA UTAWALA. Pia, ni mwalimu wa masomo ya JIOGRAFIA NA KISWAHILI. Natafuta kazi kwenye mashirika na taasisi mbalimbali zinazohusiana na taaluma yangu, nawaombeni wana JF kwa yeyote...
  14. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mna kheri wenye mama mkwe mzee

    yani ndoa za siku hizi inatakiwa uwe na roho ngumu ... laa sivo utajikuta umekula kuku na mayai yake
Back
Top Bottom