Recent content by dar stamina

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kumbe Tanzania ilikosa uongozi thabiti

    Kumbe wingi wa waheshimiwa hoja, hoja n kupata watendaji wa kweli wenye uthubutu wa dhazati we angalia rais,makamu wa rais, k/mkuu Kiongoz na w /mkuu tu goma linaenda ile 120 kwenye Kona shaaaaaa co mawaziri 60 na bado mwendo 25 kwenye kona unavuta handbrake
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kulipwa pesa za furniture kwa viongozi wa mashiriki ya umma

    Sasa huu n wivu wa kike mleta uzi soma na ww uwe ktk hzo level
  3. D

    JamiiForums Tanzania Maagizo ya Serikali ya awamu ya 5 Yaanza kupotoshwa

    Wote tutulie ndani tuijenge nchi yetu...ww kinachokuuma kukosa hzo safari za UK, magufuri akulenga kuokoa hela pekee yake bali na nguvu kaz ya serikali, ww umeajiliwa na watz Kaa nchn tuwatumikie
  4. D

    JamiiForums Tanzania TB Joshua akutana na viongozi wa UKAWA

    Mmmmm naisi kama agent wa shetani ndio wakati wake huu Umefika......n mawazo yangu tu haya ata ww una yako kwahyo n vzr kila mmoja akaamin vile anavyozani
  5. D

    JamiiForums Tanzania Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

    Kufa n Kufa tu
  6. D

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa jinsi ya kugawana faida

    Wanajamvi, Naomba kusaidiwa kupata mchanganuo mzuri wa kugawana faida ya Biashara na business partner wenzangu.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Regina Lowassa ni mwanamama wa mfano, mke bora

    Ovyooooooo
  8. D

    JamiiForums Tanzania Majambazi yaua na kupora Dola 10,000

    Haya tuone huo uzalendo kama utalisha fmly yake......vtu vyengne vya kijinga kabisa utaeendaje kupambana na jambazi ukiwa hauna mbinu yyte ya kujiami? Huu n ujinga
  9. D

    JamiiForums Tanzania Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Mimi naomba watu wafuatilie cm za lipumba kwa kipindi cha mwezi mmoja nyuma ndio tutagundua nn na nani yupo nyuma ya mpango huu haramu
  10. D

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: "Wekeni akiba ya maneno"

    Yan mtaani watu makoo yamewakauka kisa siasa acha ligi zianze tutulie kidogo
  11. D

    JamiiForums Tanzania Episode I: Agano-Lowassa Lazima awe Rais, Ndio mkakati tangu 95

    Lowassa our next president trust Me.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Udikteta wa Mbowe: Msuguano Slaa na Mbowe waitikisa CHADEMA, Mafisadi wamteka Mbowe

    Hv ccm mambo yao c washamaliza kule dodoma c waendelee kumnadi mgombea wao, haya manenomaneno kwa chadema yanawahusu nn?
  13. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa aongezewe ulinzi

    Ndio nn?
  14. D

    JamiiForums Tanzania Rostam naye sasa rasmi CHADEMA

    Yan kama naliona bunge lijalo kambi rasmi ikiongozwa na makinda mawaziri kivuli nape, na baadhi ya wabunge wa ccm yangu....namuona mama makinda akiomba muongozo kwa mh speaker tundulisu. "mh.speaker naomba muongozo wako...maana this is not fair, mbona mm nilikua nawasikiliza muda mwingne "
Back
Top Bottom