Uzoefu unaniambia kuwa watu wanaopost thread za aina hii ni wale waliokuwa vilaza darasani na sasa wamepata pesa za uganga. Mkuu achana na pesa za Sangoma madhara yake ni makubwa sana.
Usiwe mvivu wa kusoma vitu kwa undani mkuu. Wachina Wana project inayoitwa EAST( Experimental Advanced Superconducting Tokamak). Hii ni project ya kisayansi yenye lengo la kutumia process ya nuclear fusion iliyotumika kuunda jua ili kupata chanzo cha nishati(clean energy). Jua linatokana na...
Andika barua kwenda kwa uongozi wa department Yako. Hakikisha unaweka uthibitisho kuwa umeonewa.Itakusaidia kama ushaidi baadae kama lecturer ataamua kukaza. Iliwahi kunitokea Mimi nikiwa 2nd year COET nilikosa UE baada ya ratiba kubadirishwa muda mfupi kabla ya mtihani. Nilifika chumba cha...
Acha upotoshaji mkuu.
Hujaonyesha hiyo "geomagnetic instability" imesababishaje internet failure Kwa east africa. Maelezo yako yanaonyesha kuwa mawasiliano yaliyoathirika ni ya satellite na siyo internet. 99% of intercontinental data traffic is via marine optical cables. Why effect imekuwa...
Havells wako vizuri na ni cheap kuliko tronic. Ubora wa vifaa vyao na tronic havina utofauti sana hasa Main distribution switches. Nina duka la vifaa vya umeme liko Chanika. Ikikupendeza karibu tufanye biashara, PM.
Hapa tena kwenye kuelewa maana ya mafanikio umeenda chaka.
Sikia, Mafanikio ni kufikia malengo. Malengo ya Yanga msimu huu yalikuwa ni kufika hatua za makundi kwenye mashindano ya CAF. Ametimiza lengo na kupitiliza hadi kufika fainali. Haya ni mafanikio makubwa sana kwa Yanga kimataifa. Kwa...
Sikiliza wewe,
Yanga kimataifa msimu huu imefanikiwa sana hata isipochukua kombe. Yanga wamekuwa wakiishia hatua za mwanzo tu mashindano ya CAF misimu ya nyuma. Msimu huu wamefanya mambo makubwa sana. Kama we ni mwanayanga na unayakataa haya mafanikio basi hujui football. Simba wameset standand...
Najaribu kuwaza. Hivi Yanga wangefika robo fainali CAF champions league na kushika nafasi ya pili kwenye ligi, tungesema msimu kwao umekuwa wa mafanikio au failure? Mwanayanga yeyote aje ajibu hili swali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.