hivi ukawa ndiyo inawakilisha wananchi tu ili hali bungeni kuna wajumbe 200.. Wanaowakilisha makundi mbalimbali? Mimi binafsi naona hiyo ndiyo siasa ya kweli na siasa yenye demokrasia
wakuu hivi mtu akiajiliwa ili achukue mkopo mpaka awe na confirmation later na hakuna benki inayotoa mkopo kwa mwajiliwa ambaye bado hajapata confirmation later? na mtu akiwa na take home ya 705000 atachukua sh. ngapi mkopo?
Wew jamaa mbona unakuwa na matusi jenga hoja, halafu ndiyo maana kumbe asilimia kubwa ya watu kama wewe mnapelekwa pelekwa hadi mtu anajilipua ati anafia dini kwanini yule anayekufundisha hivyo yeye asijilipue afie dini ili nyie muige kama mlivyo iga mavazi ya kiarabu? kuvaa kwa kujisitiri sio...
Salaam wandugu....kama nilivyo jieleza hapo juu mimi sijawahi kununua gari wala kuagiza gari lakini baada ya kujichanga nina kama 7 milion hivi,naombeni wataalamu wa masuala haya wanishauri ni aina gain ya gari naweza kuagiza Japan ambayo mpaka naitoa bandarini nitatumia kiasi hicho nilicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.