Sumae alikaa madarakani lakini hakufanya lolote, nashangaa eti ukiwa ndani husemi kitu! Ukiwa nje unasema,why? Kama sio unafiki. Lowasa 2015 hata kama. Sumae utakumbukwa kwa lipi? Uchu wa madaraka tu unakusumbua, hii nchi mmeifanya kuwa changudoa. Kila mtu akitaka anadonoa! When you think Right...
Amka rafiki,mbona umelala? Play your party, mkoa wa Mara pamoja na kuwa na vyazo vingi vya mapato ni wa mwisho kiuchumi? I believe in war if you want to achieve better.
Hii migodi ni bora isingekuwa Tanzania,kwani mwananchi wa kawaida hafaidi chochote! Ni kuuawa tu kama mbwa? Serikali imeshindwa kulinda raia wake. Yaani Tanzania imekuwa ni sawa na mwanamke ambaye ni changu doa!
Tuna maprofesa majina, wanasifiwaaaaa,hakuna kitu wamefanya nini cha kukumbukwa? Hii nchi ina watu ambao ni myopia,vijana wamekuwa makupe! Je,tutafika?
Nashangaa! Tume imetumia ghalama kubwa kukusanya maoni ya wananchi, lakini kwenye rasimu yamejaa mawazo na mtazamo wa wajumbe! Serikali tatu ni upumbavu uliokithili. 99.99% ya watanzania walisema madaraka ya raisi yapunguzwe,maoni haya hayajafanyiwa kazi. Tanzania ya leo ina wasomi, kwenye hii...
Hii rasimu ni kwa ajili ya watu wachache,lakini kwa kuwa Watanzania wengi ni makupe,hawalioni hili. A great thinker has to think about 50 y's to come and not today &tomorrow. Nawapinga kwa nguvu zote.
Tatizo Watanzania wengi ni makupe,tunaishi kwa mawazo ya wengine. Serikali tatu ni uchu wa kutaka kuongoza, it's better to 've two independent country rather than three government within same republic. If you cannot remove a stone on your way,go around it. Vijana wengi wamekuwa makupe,rasimu hii...
The government nullified form four national Examination results of 2012, I think this is for the interest of few(politician). Once you send raw material with low quality to the industry,expect to get poor,poor product.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.