Serikali yafunga migodi 4 Mererani

Serikali yafunga migodi 4 Mererani

Ccm ni janga ktk taifa letu la tanzania hiyo migodi iliyofungwa ndo inalisha karibu arusha nzima lkn leo imefungwa na muhongo je ni sawa.
 
ccm ni janga ktk taifa letu la tanzania hiyo migodi iliyofungwa ndo inalisha karibu arusha nzima lkn leo imefungwa na muhongo je ni sawa.

wakati wa mungu umekaribia watatoka tu watake wasitake
 
Ukiona viongozi ktk taifa wananyanyasa watu wake ujue mungu ameshawakata ndio ccm ilivyo wamelewa madaraka
 
Mbona wao tanzanite one wakiuwa wachimbaji wadogo hawafungiwi migodi yao?
 
Huyu jamaa amekutana na watu wanaozamia bomu kule tanzanite one wanaopita kwenye mitobozano iliyopo kwenye migodi iliyotajwa hapo juu na mingine.
 
Kimsingi hilijambo lina tisha but kumbuka hawa watu huenda walishindwana katika bomu au kuteka njia hivyo katika purukushani yakatokea yaliotokea but,hali nimbaya migodini hakuna ubinadamu kule na serikali haina habari kule kuna unyama wa kila aina watu wasiojua utu wapo huko hapo kwa chusa wapo 'VIRENGA' kama Mangi Meli, Daudi kwa kweli sijui mimi nafikiri kama isipo angalia madhara makubwa yaja
 
Hii migodi ni bora isingekuwa Tanzania,kwani mwananchi wa kawaida hafaidi chochote! Ni kuuawa tu kama mbwa? Serikali imeshindwa kulinda raia wake. Yaani Tanzania imekuwa ni sawa na mwanamke ambaye ni changu doa!
 
Amka rafiki,mbona umelala? Play your party, mkoa wa Mara pamoja na kuwa na vyazo vingi vya mapato ni wa mwisho kiuchumi? I believe in war if you want to achieve better.
 
Wafunge na Tanzanite one basi isiyolipa kodi sio kufunga migodi ya wazawa tu
 
Back
Top Bottom