Recent content by dansmith

  1. dansmith

    JamiiForums Tanzania Mtoto ambaye hataki kula chakula chochote

    Sio pale baruani kweli
  2. dansmith

    JamiiForums Tanzania Zijuwe platform za kimtandao zilizowahi kuibia watu Tz

    Mbona hausemi na zile wabongo walizopiga kama NALA na pesa za watu hawajalipa
  3. dansmith

    JamiiForums Tanzania Masanja Kadogosa katumbuliwa kama Katibu wa Bodi ya TRC. Je, anabaki na Ukurugenzi wake? Kama anabaki nao ni halali?

    Kwa hiyo bodi mpya ikaanza kazi inaingia kazini inapokelewa na mwizi aliyekuwa bodi ya awali sio ,anaanza tena kuwafundisha na wao wizi sio eee
  4. dansmith

    JamiiForums Tanzania Nyerere na Mandela walipata urais kwa wepesi kuliko marais wengine

    Kwa hiyo Mandela alikaa magerea miaka 23 sio eee
  5. dansmith

    JamiiForums Tanzania Nahitaji sim tank 2 za kununua

    Dukani haupajuai au unataka tuu za wizi ww
  6. dansmith

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye "WAKE" wanao drive

    Kwa ukibaki na house girl ndo wasiwsi unapungua
  7. dansmith

    JamiiForums Tanzania Moshi: Aliyepigwa kwa kudaiwa kufumaniwa amliza Mkuu wa Mkoa

    Mbona picha za uchi hatujaona? Na mbona alikiri jamaa alimdanganya hana mke? Na mbona pale palikuwa nyumbani pa mtuhumiwa na sio bar? Na kama jmaaa hakuwa na nia mbaya kwa nn alikimbia. Na hiyo laki 9 na elfu Saba alitembea nayo ya nini ? Ila mtuhumiwa alikosea wacha mahakama isikilize
  8. dansmith

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I decided not to kill you

    Mwambie unahisi dalili za covid19 ili msionane
  9. dansmith

    JamiiForums Tanzania Kwa tulioumwa mafua yale ni mashahidi tosha, nahisi ile ilikuwa ni Covid 19

    Sitashau hiii kitu ilinipiga mimi dec 25 ilianza nikiwa ibada aisee kama kichwa nikapiga hedex kurudi home ngoma ikachangaya homa kali mafua kichwa balaaa nikaenda hospital nikapigwa mseto.amoxil citrizen panadol mucolyn etc sijwai kuuumwa vile aisee na nikiona hizi dalili za hiii kitu na pale...
  10. dansmith

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Watoa huduma za afya wasikimbie wagonjwa, sio kila homa kali ni Corona

    Labda udr wa heshima kama jk
  11. dansmith

    JamiiForums Tanzania Duh Watanzania mna ujasiri, licha ya kutajiwa maambukizi 88 lakini maisha bado ni yale yale, kubanana kwenye madaladala

    Mtangazaji mwenywe anapeleka Mic karibu kwa dereva
  12. dansmith

    JamiiForums Tanzania Namba za simu za Ofisi nyingi za Serikali hazipatikani

    Ofisi zote nadhani wamekata zile waya na vichwa wameuza yaaani ni hovyo kuna siku nimepiga nida eti na wao wamefungiwa hawasajili
  13. dansmith

    JamiiForums Tanzania Building Contractors & General Cleanliness

    Nitawapigia tuyajenge hizi ndo fursa ttzo huyu mtu anaitwa covid19 anatisha sna
  14. dansmith

    JamiiForums Tanzania Mwenye uhitaji wa site ya jiko la chakula

    Ndo huwa mnayadaja majinga hivi
Back
Top Bottom