Kuna jamaa anaitwa Mwangamba alikuwa akishawishi sana mambo ya Oriflame watu wajiunge ila baadae ni kama alishtukiwa kwasababu akipost kitu watu hawacomment wala kulike. Mimi kinachonisaidia kukwepa hawa watu ni tabia yangu ya kutotaka kupangiwa na kutoamini katika miujiza wala bahati.Oriflame bana nilijiunga aiseee, kupata faida ndo ilikuaa mtihani bidhaa bei kubwa nikakimbia nikawaachia afu10 yangu
Zilizoibiwa JeHabali za muda huu wapendwa.
Leo nawaletea uzi huu wa utapeli kwa njia ya Mtandao.
Tunapo ongelea maswala mazima ya biashara za mitandaoni moja kwa moja kuna faida zake na asala zake. Biashara nyingi zinazopatikanika mitandaoni zinakuwa na risk kubwa sana kwa sababu zinafanyika kwa njia ya Mtandao wa Internet na zingine kwa njia ya Network marketing.
Mascam wengi wa nje ya nchi na walipo hapa Tz wanajuwa watanzania wengi hasa vijana wanapenda maisha ya chap yaani ulime leo na uvune leo leo tena ulime kidogo na uvune nyingi kitu ambacho kwenye elimu ya kibiashara inakataa kabisa. Kwaiyo kwa kulielewa hilo wanakuta na mkakati mwingi wa kuhujumi pesa za watu kwa njia ya utapeli wa kimtandao.
Zijue platform za kimtandao zilizowahi kuibia watu Tanzania mpaka leo bado zinawaibia watu;
1.BC investiment
2.QNET
3.EARNJET AGENCIES
4.DAJIP
5.NEXTSTEP VENTURE
6.PAMA FUND
7.SME
8.IDEA DEBATOR
9.DEAL NO.1
10.SCATEC
11.GLOBAL
12.ALIANCE
13.PAYMARA
14.CRYPTO BOND
15.SUPREME HARVESTERS
16.ZIRCON
17.INCLUSIVEFX
18.GROSSBYTE
19.VORTEX
20.T PURCHASE
21.FOREVER LIVING
22.D9 CLUB
23.RIFARO AFRICA
24.DEC
25.BIT CLUB
26.ZURI CASH
28.WHOZYUU HAWA KANDA YA ZIWA WANAWAFAHAM
29.ZEBU
30.MTFEE
31.CROWD ONE
32.ORIFLAME
33.YESSTYLE
34.MULA EMPIRE
35.NIPHERO1
36.TAKEALOT
37.AGAM
38.COTP
39.DREAM LIFE
40.GOLDEN INVESTIMENT
41.MYER
42.MEGAWEALTH
43. Umoja
44. Faida investment
45.kalynda huyu ndo ameenda na vichwa kibao kwa mbwembwe na matangazo na matshert vikao vya kutosha kilichowakuta watz MUNGU ndo anajua
46.bb bestibei E.COMMERCE COMPANY huyu anaanza tar 20 ya mwezi huu na bado watz tutalizwa tena.
47.Duttex
48.JATU PLC.
Hawa jatu nao washawaliza wengi tu kwenye maswala ya kilimo awako pele yao kuna investment nyingi tu wanajitangaza kwenye TV za kuwekeza kwenye kilimo mwisho wa siku ni usanii na utapeli hata kama wamesajiliwa brella.
Kila platform imewapiga watu saaana
Ukielezea kila moja na historia yake utachoka na hapo bado hazijaisha na kila moja ina mbinu zake za kuwapiga raia
Tufanye kazi Watanzania tuache maisha kitonga. Kama unataka kulima nenda shamba kakodi au kanunuwe shamba then lima.
Watu wameumizwa sana lakin hatusikii.
Mbali na kuwepo kwa changamoto hizi za utapeli kwa njia hii za kimtandao lakini Biashara halali zipo pia zinazofanyika kwa njia ya kimtandao japo risk ni kubwa sana.
Unaweza ukatumia website hii maususi ya kuscan usama wa link unayopewa na kupata information mzima.
www.scamadviser.com
Kalibu kueleze wizi huu unaofanyika kwa njia ya mtandaoni.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Ukikosa maarifa utaangamiaHabali za muda huu wapendwa.

Hawa juzi wametoka kuwaliza watu kama JATU plcVANILLA INERNATIONAL.
Ni hao hao watu wa Kalynda wamekuja kwa jina lingine na cha ajabu hao hao walioliwa Kalynda ndio wanaoliwa tena M-TangolingKuna moja hiyo kama kalynda wanajiita M-Tangoling watu wanalia kimyakimya huko
Yaani mku wako wengi hao. Sana sana wanapiga sana maeneo ya mwanza na arusha ndio wanawanasa sana watu.Umeisahahu ELNET
Mbona hausemi na zile wabongo walizopiga kama NALA na pesa za watu hawajalipaHabali za muda huu wapendwa.
Leo nawaletea uzi huu wa utapeli kwa njia ya Mtandao.
Tunapo ongelea maswala mazima ya biashara za mitandaoni moja kwa moja kuna faida zake na asala zake. Biashara nyingi zinazopatikanika mitandaoni zinakuwa na risk kubwa sana kwa sababu zinafanyika kwa njia ya Mtandao wa Internet na zingine kwa njia ya Network marketing.
Mascam wengi wa nje ya nchi na walipo hapa Tz wanajuwa watanzania wengi hasa vijana wanapenda maisha ya chap yaani ulime leo na uvune leo leo tena ulime kidogo na uvune nyingi kitu ambacho kwenye elimu ya kibiashara inakataa kabisa. Kwaiyo kwa kulielewa hilo wanakuta na mkakati mwingi wa kuhujumi pesa za watu kwa njia ya utapeli wa kimtandao.
Zijue platform za kimtandao zilizowahi kuibia watu Tanzania mpaka leo bado zinawaibia watu;
1.BC investiment
2.QNET
3.EARNJET AGENCIES
4.DAJIP
5.NEXTSTEP VENTURE
6.PAMA FUND
7.SME
8.IDEA DEBATOR
9.DEAL NO.1
10.SCATEC
11.GLOBAL
12.ALIANCE
13.PAYMARA
14.CRYPTO BOND
15.SUPREME HARVESTERS
16.ZIRCON
17.INCLUSIVEFX
18.GROSSBYTE
19.VORTEX
20.T PURCHASE
21.FOREVER LIVING
22.D9 CLUB
23.RIFARO AFRICA
24.DEC
25.BIT CLUB
26.ZURI CASH
28.WHOZYUU HAWA KANDA YA ZIWA WANAWAFAHAM
29.ZEBU
30.MTFEE
31.CROWD ONE
32.ORIFLAME
33.YESSTYLE
34.MULA EMPIRE
35.NIPHERO1
36.TAKEALOT
37.AGAM
38.COTP
39.DREAM LIFE
40.GOLDEN INVESTIMENT
41.MYER
42.MEGAWEALTH
43. Umoja
44. Faida investment
45.kalynda huyu ndo ameenda na vichwa kibao kwa mbwembwe na matangazo na matshert vikao vya kutosha kilichowakuta watz MUNGU ndo anajua
46.bb bestibei E.COMMERCE COMPANY huyu anaanza tar 20 ya mwezi huu na bado watz tutalizwa tena.
47.Duttex
48.JATU PLC.
Hawa jatu nao washawaliza wengi tu kwenye maswala ya kilimo awako pele yao kuna investment nyingi tu wanajitangaza kwenye TV za kuwekeza kwenye kilimo mwisho wa siku ni usanii na utapeli hata kama wamesajiliwa brella.
Kila platform imewapiga watu saaana
Ukielezea kila moja na historia yake utachoka na hapo bado hazijaisha na kila moja ina mbinu zake za kuwapiga raia
Tufanye kazi Watanzania tuache maisha kitonga. Kama unataka kulima nenda shamba kakodi au kanunuwe shamba then lima.
Watu wameumizwa sana lakin hatusikii.
Mbali na kuwepo kwa changamoto hizi za utapeli kwa njia hii za kimtandao lakini Biashara halali zipo pia zinazofanyika kwa njia ya kimtandao japo risk ni kubwa sana.
Unaweza ukatumia website hii maususi ya kuscan usama wa link unayopewa na kupata information mzima.
www.scamadviser.com
Kalibu kueleze wizi huu unaofanyika kwa njia ya mtandaoni.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Fursa yeyote ya maana uwezi ukaisikia mtandaoni.Kuna jamaa yangu rafiki wa kitambo alikuja na kunieleza unanunua saa bei nakumbuka kama 500k alafu unatafuta sjui watu unawaunga unauza bidhaa unapanda madaraja dah nikamsikiliza sana anamalengo mengi nkaona nijikalie chonjo tena kipindi hiko ndio nasimamia biashara za home mpunga upo kiasi ila nikajisemea hakuna kinachokuja kirahisi.
Hata baba yangu alishaniambia ukiona mchongo unazagaa tu basi jua hauna maana yoyote na akanipa mfano kuna watu wananunua milima wanachimba mchanga mawe kokoto vifusi vinatoka huko ni bonge moja la dili ila huwezi sikia watu wakiongelea au mchongo kama huo kuzagaa mitandaoni umakini unahitajika na hakuna kinachokuja kwa urahisi.
Kuna kipindi bi mkubwa akaumwa kwenda hospitali kuna dada akatushauri tutumie bidhaa za forever akatupa somo refuuu alipoharibu ni pale alipotaka kuniingiza kwenye mdumo wake na kusema na mm natakiwa nitafute watu wa join ili nipande kiwango [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] nakumbuka bi mkubwa alitoa neno "koma ww msichana mimi naumwa unaniletea biashara zenu za kipumbavu" nikamtuliza bi mkubwa nilipotoka nikamwambia yule dada umezingua hizi sio sehemu za kuleta ujanja ujanja mtu anakuamini ananunua bidhaa alafu haimtibu wala nn alafu unaleta tena biashara asee alinywea yule dada na mpka leo kila nikienda home namuona skuhizi kachoka naona forever imemkataa
Sijapata information yake. Hebu tupe fuul information kwa faida ya watu wote ili zikijitokeza tena watu wawe macho mkuuMbona hausemi na zile wabongo walizopiga kama NALA na pesa za watu hawajalipa
Pole sana mkuu buku 10 nyingi iyoo.....ahaahahOriflame bana nilijiunga aiseee, kupata faida ndo ilikuaa mtihani bidhaa bei kubwa nikakimbia nikawaachia afu10 yangu
Hilo ni kweli mkuu sisi wabongo ndio tuko hivyo.Bongo kuna hela nyingi sana ni ww tu kuamua kujipigia yaan[emoji23][emoji23] maana wabongo wanapenda sana kitonga yaan hawatak kuvuja jasho!
Haswaaaaa. Hilo ni kweli.Kuna jamaa aliwahi kusema Kubeti na investment ya utajiri wa haraka ni masikini tu wataliwa. Sio kama hawako smart laa ila wanapenda shortcut ya utajiri.