Nyerere na Mandela walipata urais kwa wepesi kuliko marais wengine

steve_shemej

JF-Expert Member
Nov 26, 2015
1,092
1,433
Leo nimeona nizungumzie Hawa maraisi wawili Nelson Mandela na Julius nyerere Hawa Ni miongoni mwa maraisi waliopata uraisi kiwepesi kuliko maraisi Wengine afrika

Kama unakumbuka harakati za kusaka Uhuru nchini afrika kusini hazikufanikiwa na Hatimae Mandela akatupwa jela na kukaa kwa miaka 27 Kama jela ingekuwa ngumu kwa Mandela sizani Kama angetoka akiwa na hali nzuri simply means wazungu walimuhifadhi tu ili asiwasumbue

MANDELA ALIPATAJE UHURU
Baada ya kukaa jela kwa kipindi kirefu aliyekuwa raisi wa mwisho mzungu ambae aliitwa Federico aliamua kumtoa Mandela gerezani akaenda mbali akamwambia ajiandae wafanye uchaguzi na akishinda atamkabiz nchi na Federico alijua watu weusi lazma wamchague mandela na yeye ilikuwa Nia yake hiyo ukitazama kiundani utagundua Federico aliamua tu kumkabidhi nchi Mandela

Ukija kwa nyerere nae harakati za Uhuru alizikuta zimeanza kabla yeye hajazaliwa Kama unavyojua tanganyika ilikuwa chini ya mjerumani lakini baada ya Vita ya pili ya Dunia mjerumani alipokonywa makoloni yote na kupewa walioshinda Vita akiwemo muingereza

Muingereza alipewa tanganyika na makoloni mengine akaongoza tangu 1946-1960 waingereza walikaa wakaamua kuwa wamezidiwa na idadi ya makoloni hivyo wakaamua kugawa Uhuru kweye makoloni yoote ambayo walipewa baada ya kushindwa Vita miongoni mwa makoloni hayo Ni pamoja na Tanganyika

Hivyo Basi wakamteua nyerere kuwa kiongozi kwaamani wakamwachia nchi hii Ni tofauti na kwa nchi kma Zimbabwe au Mozambique ambako wakipambana mpaka tone la mwisho kumuondoa mkoloni

Huyo pichani Ni Federico raisi wa mwisho mweupe wa south afrika ambae anaheshimika mpaka kesho kwa uungwana wake

100px-Frederik_Willem_de_Klerk.jpeg
 
Una dharau kwa rais wa kwanza wa Tz, kiasi kwamba huoni umuhimu wa kuliandika jina lake ukianza na herufi kubwa.
 
Ulivyosema tofauti na viongozi wa Zimbabwe na Mozambique ambao walitoa damu mpaka tone la mwisho,Mugabe alikaa jela miaka mingapI?na tone gani la damu ambalo amewahi kutoa?Machel alifungwa jela gani?
 
Back
Top Bottom